Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,575
- 2,117
Sawa Ila Pochi Nene Imejaa ViwembeeUtanikuta stellah bar achana na pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Ila Pochi Nene Imejaa ViwembeeUtanikuta stellah bar achana na pm
Na nini mamahaaaaa unanitisha
Kutupa ndoano ili nione kama naweza kuvua samakiUnakuja kufanyaje jamani?
Kiwanja chochote upendacho kitakuwa pouwaaa ila mm Niko st Gasper ndio nimefikiaHaya jaman weekend jumamosi nikukute wapi?
Wengine hatuna maneno mengi ni kurusha [emoji612]doller tu[emoji23]Hahahahha lazima nikuchambue kwanza ndiyo nijibu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] AiseeeeeeNa mm huniweki kwenye bajeti jaman nitaliaaaa
Kwani nishawahi before??Nakusubiria kwa mara ya pili
Eeegh Niliwahi Kimbizwa airportNyembeeee
Usiogopee BanaHahahahhahaha duh nakuogopa
Wangekuwa wanajua sura yako ilivyo wasingekuja PM wallah wabilahWajuvi wa mambo nitakuwa na tatizo gani mimi?
Na nyie mnapokea pm kunakuwa na tatizo gani eti?
Sielewi naombeni ushauri.
Location: Hombolo village.View attachment 1123841