RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Nina Mwezi tangu mwili wangu uanze kuwasha yaani nawashwa mwili mzima hali inayopelekea kujikuna sana aswa kwenye joto ndo miwasho inazidi najikuna Hadi kujichubua ngozi yaani nawashwa balaa na hali inazidi usiku nikiwa nimelala, yaani Hadi mboo Kwa ndani kwenye joto najifikicha balaa maana inawasha balaa kuna siku nilienda hospital ya wilaya nikafanyiwa vipimo vya mkojo na choo lakini hawakuona chochote ila wakanipa vidonge vya fangasi na minyoo maana walihisi labda shida itakuwa iyo ,nilipoanza dose ya siku 14,hali ya ngozi kuwashwa ilipotea Kwa asilimia kubwa ila mboo Bado ilikuwa inawasha Kwa ndani aswa ikifika usiku muda WA kulala Kwa iyo ikawa inapelekea kujipikicha sana
Baada ya kumaliza iyo dose ya siku 14 ya fangasi naona hakuna iyo dose ilichosaidia zaidi ya kuwasha Kwa ngozi ya mwili kumerudi Kwa Kasi plus na mboo kuwasha Kwa ndani
Msaada please Kwa wenye ujuzi WA tiba WA ili tatizo mimi nahisi watakuwa fangasi ila Sina huakika zaidi maana kipindi cha joto ndo nawashwa mwili balaa kama nimemwagiwa upupu yaani nawashwa Hadi kichwani, yaani kila sehemu ya mwili shingoni,mgongoni,matakoni,usoni,
Yaani nateseka balaa