Jamani Mwili Wangu Unawasha balaa

Jamani Mwili Wangu Unawasha balaa

Ugonjwa uliwahi nitesa huo mkuu nilikuja kupona kama masihara maana nilibadilisha dozi wapi mkuu tafuna mbegu za kitunguu swaumu asubuhi kabla hujaweka kitu chochote mdomoni.
Ok,ntafanya ivyo
 
niliwahi sumbuliwa na hilo tatizo,.. lakini ilikuwa ni baada ya kutumia antibiotics fulani ndipo nikata hilo balaa kama side effects,....ok, kulituliza hilo tumia kidonge kimoja cha citrizen mara baada ya muwasho kuanza,,...ikiwa itakusaidia, rudisha majibu,...
Ok thanks
 
Nina Mwezi tangu mwili wangu uanze kuwasha yaani nawashwa mwili mzima hali inayopelekea kujikuna sana aswa kwenye joto ndo miwasho inazidi najikuna Hadi kujichubua ngozi yaani nawashwa balaa na hali inazidi usiku nikiwa nimelala ,yaani Hadi mboo Kwa ndani kwenye joto najifikicha balaa maana inawasha balaa kuna siku nilienda hospital ya wilaya nikafanyiwa vipimo vya mkojo na choo lakini hawakuona chochote ila wakanipa vidonge vya fangasi na minyoo maana walihisi labda shida itakuwa iyo ,nilipoanza dose ya siku 14,hali ya ngozi kuwashwa ilipotea Kwa asilimia kubwa ila mboo Bado ilikuwa inawasha Kwa ndani aswa ikifika usiku muda WA kulala Kwa iyo ikawa inapelekea kujipikicha sana

Baada ya kumaliza iyo dose ya siku 14 ya fangasi naona hakuna iyo dose ilichosaidia zaidi ya kuwasha Kwa ngozi ya mwili kumerudi Kwa Kasi plus na mboo kuwasha Kwa ndani

Msaada please Kwa wenye ujuzi WA tiba WA ili tatizo mimi nahisi watakuwa fangasi ila Sina huakika zaidi maana kipindi cha joto ndo nawashwa mwili balaa kama nimemwagiwa upupu yaani nawashwa Hadi kichwani, yaani kila sehemu ya mwili shingoni,mgongoni,matakoni,usoni,

Yaani nateseka balaa
Dah!....pole Sana aisee..

DR Mambo Jambo
 
Ivi mafuta ya kupikia yanaweza sababisha iyo Hali? pia nimeanza para wasiwasi na mazingira yanayonizunguka.
Kabisa inategemea ww mwili wako una react na nini...anza kujichunguza muda gani unawashwa zaidi.na katika hali gani...
 
Nimekumbuka tangazo la protext zamaani 2000s walikuwa na tangazo lao ITV jamaa Omary anashuka kwenye daladala anajikuna balaa alafu anaulizwa Omarrry kwanini kila siku unajikuna ngwaraa!!!..ngwaraa!!!... ngwaraaa!!. Unahitajii PROTEXT!!

Mkuu pole, nimekumbuka mbali tu ilo tangazo, enzi zoo.
 
Duh pole.

Madaktari wa JF msaidieni huyu ndugu. Au fanya uende hospital kubwa kama unaishi Dar, mwanza, Dom au Arusha.
 
Choma power siku tano
Tumia sabuni ya tetmosol ya India usitumie ya Nigeria
Tafuta lotion inaitwa Scaboma paka baada ya kuoga kutwa mara mbili, baada ya wiki leta mrejesho Boss
Fuata ushauri wa daktari kuhusu matumizi ya dawa
 
Choma power safe injection siku tano
Tumia sabuni ya tetmosol ya India usitumie ya Nigeria
Tafuta lotion inaitwa Scaboma paka baada ya kuoga kutwa mara mbili, baada ya wiki leta mrejesho Boss
Fuata ushauri wa daktari kuhusu matumizi
 
Nina Mwezi tangu mwili wangu uanze kuwasha yaani nawashwa mwili mzima hali inayopelekea kujikuna sana aswa kwenye joto ndo miwasho inazidi najikuna Hadi kujichubua ngozi yaani nawashwa balaa na hali inazidi usiku nikiwa nimelala, yaani Hadi mboo Kwa ndani kwenye joto najifikicha balaa maana inawasha balaa kuna siku nilienda hospital ya wilaya nikafanyiwa vipimo vya mkojo na choo lakini hawakuona chochote ila wakanipa vidonge vya fangasi na minyoo maana walihisi labda shida itakuwa iyo ,nilipoanza dose ya siku 14,hali ya ngozi kuwashwa ilipotea Kwa asilimia kubwa ila mboo Bado ilikuwa inawasha Kwa ndani aswa ikifika usiku muda WA kulala Kwa iyo ikawa inapelekea kujipikicha sana

Baada ya kumaliza iyo dose ya siku 14 ya fangasi naona hakuna iyo dose ilichosaidia zaidi ya kuwasha Kwa ngozi ya mwili kumerudi Kwa Kasi plus na mboo kuwasha Kwa ndani

Msaada please Kwa wenye ujuzi WA tiba WA ili tatizo mimi nahisi watakuwa fangasi ila Sina huakika zaidi maana kipindi cha joto ndo nawashwa mwili balaa kama nimemwagiwa upupu yaani nawashwa Hadi kichwani, yaani kila sehemu ya mwili shingoni,mgongoni,matakoni,usoni,

Yaani nateseka balaa
Vipi mndyuku hauwashi!??...... Lipia tangazo....
 
Back
Top Bottom