Jamani Mwili Wangu Unawasha balaa

Ugonjwa uliwahi nitesa huo mkuu nilikuja kupona kama masihara maana nilibadilisha dozi wapi mkuu tafuna mbegu za kitunguu swaumu asubuhi kabla hujaweka kitu chochote mdomoni.
Ok,ntafanya ivyo
 
Ok thanks
 
Dah!....pole Sana aisee..

DR Mambo Jambo
 
Ivi mafuta ya kupikia yanaweza sababisha iyo Hali? pia nimeanza para wasiwasi na mazingira yanayonizunguka.
Kabisa inategemea ww mwili wako una react na nini...anza kujichunguza muda gani unawashwa zaidi.na katika hali gani...
 
Nimekumbuka tangazo la protext zamaani 2000s walikuwa na tangazo lao ITV jamaa Omary anashuka kwenye daladala anajikuna balaa alafu anaulizwa Omarrry kwanini kila siku unajikuna ngwaraa!!!..ngwaraa!!!... ngwaraaa!!. Unahitajii PROTEXT!!

Mkuu pole, nimekumbuka mbali tu ilo tangazo, enzi zoo.
 
Duh pole.

Madaktari wa JF msaidieni huyu ndugu. Au fanya uende hospital kubwa kama unaishi Dar, mwanza, Dom au Arusha.
 
Choma power siku tano
Tumia sabuni ya tetmosol ya India usitumie ya Nigeria
Tafuta lotion inaitwa Scaboma paka baada ya kuoga kutwa mara mbili, baada ya wiki leta mrejesho Boss
Fuata ushauri wa daktari kuhusu matumizi ya dawa
 
Choma power safe injection siku tano
Tumia sabuni ya tetmosol ya India usitumie ya Nigeria
Tafuta lotion inaitwa Scaboma paka baada ya kuoga kutwa mara mbili, baada ya wiki leta mrejesho Boss
Fuata ushauri wa daktari kuhusu matumizi
 
Vipi mndyuku hauwashi!??...... Lipia tangazo....
 
Hadi mboro na mapumbu navyo vinawashwa eeh..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…