Jamani Mwili Wangu Unawasha balaa

Maybe alkege tafta dawa ya allege
 
Mleta mada hujasoma au? Anataka umtunuku akusugulie
Kwa Nini hajaongelea mkyundu kama ulimuwasha ama laaa....ameongelea tu miwili mzima ..akamaliza na uume!??..... Inahitajika busara na hekima sana kutambua tangazo la huyu ..Kuna kiungo kinamuwasha hajakitaja....
 
Nenda kwa specialist mkuu au hospitali kubwa nakusihi sana achana na hizi hospitali ndogo ndogo kama tatizo halipoi

Lasivyo utakuna uboo mbaka umwage wazungu
 
Pole sana. Inaonekana unaumwa sana. Kuna mambo machache unaweza kujaribu ili kupunguza kuwasha:
Angalia video hii kwa ufupi HAPA

Oga kwa maji baridi: Maji ya baridi yanaweza kusaidia kupunguza kuwasha.
Tumia sabuni isiyo na harufu: Sabuni zenye harufu zinaweza kuongeza kuwasha.
Vaazi nguo za pamba: Pamba inaruhusu ngozi kupumua na inaweza kupunguza kuwasha.
Tumia lotion isiyo na harufu: Lotion inaweza kusaidia kuweka ngozi yako unyevu na kupunguza kuwasha.
Epuka kukwaruza: Kukwaruza kunaweza kusababisha kuwasha zaidi na kuharibu ngozi yako.
Tumia dawa ya kuzuia kuwasha: Kama kuwasha kunazidi, unaweza kujaribu kutumia dawa ya kuzuia kuwasha ambayo haina dawa za kuua wadudu.

Kama kuwasha hakupungui, ni muhimu sana kuona daktari. Daktari ataweza kubaini sababu ya kuwasha na kukupa matibabu sahihi.
Mfano huu HAPA

Sababu za kawaida za kuwasha ni:
Mzio
Maambukizi ya ngozi
Upele
Ugonjwa wa ngozi kama vile psoriasis au eczema
Kujua matibabu yake bonyeza HAPA
 
🌳 FAHAMU KUHUSU MCHAFUKO WA DAMU 🌳
(SEPTCEMA TOXEMIA)
⚡Ni Kuwepo kwa pvijidudu kwenye damu yaani "sepitcema" Kama vile virusi, Bacteria, fungi au protozoa.
⚡Kuongezeka kwa uchafu unaotokana na viungo vya mwili kushindwa kufanya kazi.
⚡Kiwango Cha juu Cha masalio na chembechembe au uchafu unaotokana na usagaji wa chakula kwenye tumbo au madaw ikiwemo sumu na mihadarati au miale ya radiations kwenye nyanja za matibabu n.k

🌱 DALILI ZA MCHAFUKO WA DAMU 🌱
👉Homa kali
👉 Kuwashwa mwili na Kutokwa vipele
👉 Kichefuchefu na kutapika
👉Kuhara
👉 Kupumua kwa shida
👉 Shinikizo la damu kuwa chini Sana kutokana na kutanuka kwa mishipa ya damu.
👉Kujiskia/kujihisi vibaya
👉Mabadiliko katika hali ya akili kama vile kuchanganyikiwa
👉Kupungua kwa joto la mwili
👉kupunguzua au kutokuwepo kwa pato la mkojo
👉kupumua kwa kasi
👉Damu kupungua.
👉Petechiae, ishara ya bacteremia. Petechiae ni vidonda vinavyotokea chini ya ngozi, vinaweza kuwa vidogo na vinavyoenea au vinaweza kuunganika kuunda vidonda vikubwa, vidonda vyenye seli zilizokufa.
👉Maumivu ya mifupa

🍃 ATHARI ZA MCHAFUKO WA DAMU 🍃
⚡ Dosari kwenye organs za mwili Kama Figo, Ini na Moyo.
⚡ Dosari Katika mishipa ya damu
⚡ Kuathiri afya ya ngozi (vipele n.k)
⚡ Kuharibika kwa homoni
⚡ Kuathiriwa kwa mmeng'enyo wa chakula
⚡ Athari katika kinga ya mwili n.k

MATIBABU

Tiba sahihi ya tatizo ili kusafisha mfumo wa damu na kubadili mfumo wa vyakula (DETOXIFICATION).

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
What's app/call
+255 656 303 019

~Chief Sang'ida
 
Habari yako mkuu, pole! Vipi maendeleo yako kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…