Jamani nadharaulika kisa nasomea ualimu

Jamani nadharaulika kisa nasomea ualimu

wakusepa

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
83
Reaction score
5
Ingawa naambiw niish kwa
kutoangalia watu lakn jaman
kwng imezidi,jaman napata
fedhea na dharau za hal y juu
kutoka familia yng mpak jamii
kwa ujumla.eti familia yng
naambiw ctakuw na msaada
wowote zaid y kuendelea kuw
tegemez kwakuw ualim si kitu
ktk nch hii,jaman zaid inanium
napoambiw napotez muda
wng na kuonyeshw watoto wa
majiran et huon fulan
anasoma
doctoring,accountant,et hao
ndo wanasomea maisha ya
kifahar na mm nasomea
umaskin.
Nawaambia jaman
ntajiendelez kusoma hapo
badae kwa dharau naambiwa
kwa mshahara upi wa
mwalim,hyo master utaweza
kwel? Baba fulan si mwalim
yule mpaka amezeeka je kuna
la maana alilofanya,nitabaki
hapahapa na rafk zng ambao
hawajasoma wataniacha
kimaisha kwn nasomea
umaskin
Kiukwel navunjwa moyo
mpaka najiulza kwann ualim
hauthaminiw?
Kwangu hii imekuw
kero,kwan najhc kutengw
jaman.je nfanye nn mwenzenu
jaman naiomba serikal ijaribu
kuboresha maisha ya waalim
tumechoka kudharauliwa,
 
Inabidi umalize huo ualimu na ufanye vitu vitakavyobadilisha huo mtazamo wao
 
Unasomea level ipi? Certificate,doploma au degree? Kama ni degree unaweza pata kazi nyingine the kijamii ikiwa utakua muhangaikaji na uhalimu sio mbaya kiivyo kuna kuna private school wanalipa vizuri sana ambapo unaweza pata mshahara wa figure 7.
 
Keep in your mind that success ya mtu katika maisha haitokani na aina ya kazi aifanyayo, kuna watu wanalipwa mamilion ya pesa bt maisha yao yote ni nyumba za kupanga. Lamsingi jitume kufanya kazi na ku2mia ipaswavyo fursa zilizopo ktk eneo lako la kazi. Achana na huo mtazamo finyu, jivunie kile ulichonacho maana ndio maisha yako!
 
Juhudi zako zitakufanya usidharauliwe ni wangapi wamepitia ualimu leo hii wanaeshimiwa?
 
Ni mtazamo tu, badili jinsi ya kufikiri.. Unaweza kujiendeleza tu..
 
Amini unacho kiamini,simamia malengo yako na sio kelele za jamii inayozunguka.kuwa na future yako unayoitaka ktk maisha
 
unajidharau mwenyewe,mbona wengine wanafurahia maisha kila kitu cha msingi wanacho we ukikalia kulia lia utabaki hivyo hivyo
 
stand firm kaka, ukiwa na malengo ya kusecure hela harakaharaka ualim utauona kabur, lakn kama unamalengoyako hasa, hata wakisema na kukudharau hata cku moja hutoyumba kwan unajua unakoelekea na baadaye utapofikia malengoyako hayo haohao waliokuwa wanaubeza ualim watakua mabaloz wa kuupa bgup ualim, cha msing kama wew ni mwalim kuanzia sasa anza kufkir na kutenda tofauti na walim waliozoeleka ndipo raman ya maisha yako itabadilika kupitia ualim. Insanity is doing the same ting over and over again but expecting different results. Nawasilisha mkuu...
 
UNAJIZARAU NA SIO KUZARAULIKA prove to them that u are wat u need be
 
Vijana mnapenda kufanya maisha kwa kuiga,ishi kama wewe,kama kuna mtu anakulisha waige::::::::;;;
 
Ingawa naambiw niish kwa
kutoangalia watu lakn jaman
kwng imezidi,jaman napata
fedhea na dharau za hal y juu
kutoka familia yng mpak jamii
kwa ujumla.eti familia yng
naambiw ctakuw na msaada
wowote zaid y kuendelea kuw
tegemez kwakuw ualim si kitu
ktk nch hii,jaman zaid inanium
napoambiw napotez muda
wng na kuonyeshw watoto wa
majiran et huon fulan
anasoma
doctoring,accountant,et hao
ndo wanasomea maisha ya
kifahar na mm nasomea
umaskin.
Nawaambia jaman
ntajiendelez kusoma hapo
badae kwa dharau naambiwa
kwa mshahara upi wa
mwalim,hyo master utaweza
kwel? Baba fulan si mwalim
yule mpaka amezeeka je kuna
la maana alilofanya,nitabaki
hapahapa na rafk zng ambao
hawajasoma wataniacha
kimaisha kwn nasomea
umaskin
Kiukwel navunjwa moyo
mpaka najiulza kwann ualim
hauthaminiw?
Kwangu hii imekuw
kero,kwan najhc kutengw
jaman.je nfanye nn mwenzenu
jaman naiomba serikal ijaribu
kuboresha maisha ya waalim
tumechoka kudharauliwa,

kuna option 3 mkuu. Ya kwanza,kausha,potezea, usimaindi, na kadhalika. Option ya pili, jua unachokifanya na je conscience yako inakuambiaje? Kama ni perpelexed duh tuliza mawazo. Option ya tatu, tambua kuna kitu kinaitwa inferiority complex na ni kitu kinachowagharimu wengi. Usiruhusu kikutawale mkuu. Chagua kati ya hizo.
 
hao wanapdharrau ualimu watoto wao wanafindishwa na nani? walimu lazima wawepo na wewe ni mmoja wao.
 
dah nimefurahi sana ila nikuambie kitu wewe soma tena make sure unaelewa unachofundishwa mungu nakuapia mwalimu wa mwaka 90 si mwalimu wa 2013 hao wanakwambia wahasibu watakuja kubembeleza ukakope kwenye bank zao wanaojiita doctors watakuja kuomba ukawafundishie watoto zao tena unalinga na unamtajia pesa yoyote anakupa so kipende unachokifanya nacho kitakupenda na wengine watakusamini so ujapotea njia kabisa ndugu yangu
 
Acha kupiga mayowe yasiyo na msingi kwani ni kitengo au fani gani inayopatikana bila kupitia walimu? Walimu wanaheshimika sema tu nyinyi ndiyo mnao jifeel infirior kwenye jamii. Soma piga kazi kwa bidii basi.Hao wengine achana nao.
Ushauri kwako ni kwamba wewe ndiyo kioo cha jamii na ulitakiwa kuwa wa kwanza kuelimisha watu sasa unapoleta mada kama hizi yaani sisi ndiyo tuanze kukuelimisha inakuwa haina maana na tunakuwa na mashaka juu yako.
 
Back
Top Bottom