Jamani nadharaulika kisa nasomea ualimu

Jamani nadharaulika kisa nasomea ualimu

Mkuu ukisikiliza mambo ya kuambiwa hutafanya kitu, fanya kile ambacho unaona ni muhimu kwako.
 
Mim huwa nawashangaa wanaotutharau walimu coz hawana elmu yeyote sana sana utakuta n drs la 7 au div O. Form 4. Huwa nawaangalia 2 alafu natupa kulee! Wanakudharau coz na wao waliwadharau walmu wao ndio maana wakafel
 
dahh me mwenyewe nilisoma ualimu semister ya kwanza baada ya kuona dharau nyingi nimeuacha saahv npo madini
 
hv unafahamu kuwa kuna walmu tena wa primary wanapokea mshahara milion moja na point kadhaa? tatzo la ualmu ni mshahara wa kuanzia chamsing soma ndugu usiridhike na elmu uliyonayo.nikupe mfano mdogo kuna jamaa alimaliza chuo kikuu dodoma hana ajira baada ya kuona anasota mtaan akaja shulen kwangu anaomba afanye tempo then wanafunzi wamchangie 200,200. ndipo nilipoona ualimu ni dili sio kaz ya kudharau
 
kwa taarifa yako muu, kati ya wafanyakazi wa tanzania walio na fedha nyingi ni walimu.kwan if you belive in this saying that ,time is money ,then kwenye sector ya elimu walimu wako na muda mwingi wa kufanya mambo yao,hasa kwa level ya shule za msingi,secondary na vyuo vya diploma.fedha hizo wanaweza kuzipata tu iwapo wataweza ku-covert time into money.wachache wenye mtizamo chanya juu ya maisha ndio wanalijua hili.kwako wewe change the way you think toward teaching professional,think how teaching professional can make you rich.
 
Umesema kweli mkuu
 
mwalm ni mtu muhim sana..
yesu mwenyewe alkuwa mwalm..
thamani yenu inatambuliwa mpaka mbinguni...
so ucwaangalie wanadam..
coz fedha na mali ni mungu anatoa..
 
Ingawa naambiw niish kwa
kutoangalia watu lakn jaman
kwng imezidi,jaman napata
fedhea na dharau za hal y juu
kutoka familia yng mpak jamii
kwa ujumla.eti familia yng
naambiw ctakuw na msaada
wowote zaid y kuendelea kuw
tegemez kwakuw ualim si kitu
ktk nch hii,jaman zaid inanium
napoambiw napotez muda
wng na kuonyeshw watoto wa
majiran et huon fulan
anasoma
doctoring,accountant,et hao
ndo wanasomea maisha ya
kifahar na mm nasomea
umaskin.
Nawaambia jaman
ntajiendelez kusoma hapo
badae kwa dharau naambiwa
kwa mshahara upi wa
mwalim,hyo master utaweza
kwel? Baba fulan si mwalim
yule mpaka amezeeka je kuna
la maana alilofanya,nitabaki
hapahapa na rafk zng ambao
hawajasoma wataniacha
kimaisha kwn nasomea
umaskin
Kiukwel navunjwa moyo
mpaka najiulza kwann ualim
hauthaminiw?
Kwangu hii imekuw
kero,kwan najhc kutengw
jaman.je nfanye nn mwenzenu
jaman naiomba serikal ijaribu
kuboresha maisha ya waalim
tumechoka kudharauliwa,

nimelipenda jina lako mkuu,
 
Fanya unachoona ww ni sahihi kufanya kwa ww kama unapenda ualimu ww fanya ivyo ivyo unavyoona kwan co kila ki2 unachofanya unaweza kumpendeza kila m2
 
Mi nina wasi wasi na ww, yawezekana huipendi kabisa hiyo fani ya ualimu ndo maana hujiamini..wake up, tell the people that education is the process of modifying individualls behaviour through the process of learning....you are the one now to modify their thought..
 
Back
Top Bottom