Jamani nahisi nimetukanwa kwa lugha ya Kirusi, nisaidieni kujua maana yake

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,415
Reaction score
3,213
Salaam!

Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe.

Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями?

Natanguliza shukran!
 
Yaani hapa sijui chochote kama kanipongeza au kanitukana, huyu ni rafiki yangu kutoka kwa Putin
 
Ndugu Shabani! Kwa kweli sielewi unataka kufikia nini na ujumbe wako?
 
Cher M. Shabani ! Je ne comprends sincèrement pas ce que vous voulez réaliser avec vos messages ?

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Dear Mr Shabani! I sincerely do not understand what you want to achieve with your messages?
 
Ni kheri kua mkweli kuliko mdanganyifu. Utuelezee ukweli wa ulichomuomba uo mdada wa kirusi.. Na jua kua wale wagumu kukuvulia chupi... bila kutambua muelekeo wako .... Usiewe mbongo mbongo. Utajikuta unakimbia bila mabegi yako
 


Kumbe jina lako ni Shabani iweje ujiite maharage ya ukweni wakati Shabani ni jina zuri tu??🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…