Jamani nahisi nimetukanwa kwa lugha ya Kirusi, nisaidieni kujua maana yake

Dear Mr. Shabani! I sincerely do not understand what you want to achieve with your messages?

Ndio maana yake hiyo, dada wa kirusi umemuomba nini hicho ambacho hakipo wazi?
Duu umenikumbusha Ile ya hachu tibya
 
Shida Iko wapi ?

SI nawewe utukane TU Kwa lugha ya kikwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…