Jamani nahitaji msaada wenu tafadhari (tendo la ndoa)

Jamani nahitaji msaada wenu tafadhari (tendo la ndoa)

Habari wana JF,

Nina matatizo mawili 1) ninawahi sana kufika kilele ninapokuwa katika tendo la ndoa, naomba ushauri wenu nifanyaje ili niweze dumu hata japo kwa nusu saa. 2) ninachelewa kupata nguvu za kurudia game baada ya bao la kwanza.

naomba ushauri wenu pia katika hili

Asanteni wana JF
Mkuu NTALYAGA Pole kwa hayo matatizo uliyokuw anayo Ukitaka dawa ya kurudisha nguvu zako za kiume bonyeza hapa.DAWA YA KUONGEZA NA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME KWA ANAYETAKA!



Faida za Kitunguu Swaumu Mwilini Hizi Hapa (Upungufu wa Nguvu za Kiume)

Kuna vitu vidogodogo lakini sisi huwa hatujui faida zake mwilini, Kwa mfano kitunguu swaumu ambacho akina mama zetu nyumbani wamezoa kuweka katika pilau lakin kina faida kubwa sana mwilini. Wengi wamekuwa hawapendii hii harufu ya swaumu kutokana na kwamba ukila lazima mdomo wako unuke swaumu au pilau fulani iv sasa Ili kuepukana na harufu ya kitunguu swaumu baada ya kukila unashauriwa kunywa maji mengi uneutralize hii harufu

Kitunguu swaumu kimekusanya protin 49%,sulphur 25%, chumvi,inasaidia kuongeza nguvu za kiume,kuua sumu,vikojozavyo,wenye matatizo ya hedhi, kuyeyusha mafuta na viini vyenye kuua minyoo.Kila utafiti unapoendelea ndipo faida na maajabu ya kitunguu swaumu yanapoongezeka.

Haya ni maradhi yanayotibika kwa Kitunguu Swaumu



1.Kuua sumu

2.Kisafisha tumbo

3.Kiyeyusha mafuta(cholestro)

4.Huzuia kuvuja kwa damu

5.Kusafisha njia ya mkojo

6.Kutibu amoeba

7.Kuzuia kuhara damu(Dysentery)

8.Tumbo kushindwa kumeng'enya(Indigestion)

9.Gesi

10.Msokoto wa tumbo

11.Typhoid

12.Kidonda kilichooza

13.Dondakoo

14.Mabaka

15.Baridi yabisi(Rheumatisim)

16.Mishipa

17.Uziwi

18.Virusi vya homa ya mafua(Influenza)

19.Mafua

20.Saratani(Cancer)

21.Kifaduro

22.Kifua kikuu cha mapafu

23.Kipindupindu

24.Kutoa minyoo

25.Upele

26.Kuvunjavunja mawe katika figo

27.Mba kichwani

28.Kuupa nguvu ubongo

29.Kuupa nguvu fizi

30.Kuzuia meno kung'ooka

31.Nguvu za kiume

32.Maumivu ya kichwa

33.Kizunguzungu/kisunzi

34.Kutuliza maumivu ya meno

35.Kujenga misuli na kutia nguvu

36.Mkakamo wa ateri(Arteriosclerosis)

37.Shinikizo la damu

38.Kinga ya tauni na ukimwi

39.Magonjwa ya macho


Kitunguu swaumu inaweza kuchanganywa kwenye vitu kama maziwa, asali, habatsouda, juisi,

NB; Dawa za asili hufanya kazi taratibu hivyo huwezi kuona effect kesho asubuhi ukianza kutumia kuwa mpole matokeo utayaona Tu..

Wakubwa mnaweza kuongezea kwa nilicho kisahau hapa
Mkuu hugochavez Kitunguu saumu hakiwezi kumsaidia huyu inaonyesha anapiga Punyeto kajiunga na kile chama cha Wapiga punyeto Tanzania Chapuwata hata kama atakitumia kitunguu saumu Mwaka mzima hakiwezi kurudisha hali yake kuna dawa zingine zinaweza kumsaidia arudishe hali yake ya kuwa na nguvu za kiume.
 
maombi pia huwa yanasaidia. Pray befor you eat.

Maombi yanasaidia sana ila wengi hawakubaliani na hili,angalizo,hii ni applicable kwa walio kwenye ndoa tu vinginevyo prayers hapo hazikubali.
 
Maombi yanasaidia sana ila wengi hawakubaliani na hili,angalizo,hii ni applicable kwa walio kwenye ndoa tu vinginevyo prayers hapo hazikubali.

ni kweli Mungu habariki uzunzi
 
Hilo tatizo ni la kawaida kwa wanaume wengi. Kuna dawa ambazo unaweza kutumia zina saidia kuongeza muda na nguvu za tendo. Uzuri ni kuwa hazina side effects. Piga namba 0716768855 kwa maelezo zaidi na namna ya kusaidiwa.
 
Back
Top Bottom