habar zenu wapendwa
natumain wote mtakuwa wazima nakumbuka niliomba msaada kwenu kuhusu
kuujua mzunguko wangu kwa ujumla,na mkanielekeza cku muhimu ya kupata
pregnant lakini mpaka leo holaa na mzunguko wangu pia unanichanganya
mpaka leo adi nakosa raha mwez wa saba nimeingia date 9 na wanane date 5
na watisa date 3 watisa tena date 28 wa kumi bado ila dalili naziona
plz samahanini kwa usumbufu naombeni msaada nijue mzunguko wangu kwa
ujumla unasiku ngapi haswa asanten nawakilisha.