Habari zenu wapendwa natumain wote mtakuwa wazima nakumbuka niliomba msaada kwenu kuhusu kuujua mzunguko wangu kwa ujumla, na mkanielekeza cku muhimu ya kupata pregnant lakini mpaka leo holaa na mzunguko wangu pia unanichanganya mpaka leo adi nakosa raha.
Mwezi wa saba nimeingia date 9 na wanane date 5 na watisa date 3 watisa tena date 28 wa kumi bado ila dalili naziona plz samahanini kwa usumbufu naombeni msaada nijue mzunguko wangu kwa ujumla unasiku ngapi haswa asanten nawakilisha.