Jamani nakosa raha kwa hili tatizo

Jamani nakosa raha kwa hili tatizo

mchoyo

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
48
Reaction score
8
Habari zenu wapendwa natumain wote mtakuwa wazima nakumbuka niliomba msaada kwenu kuhusu kuujua mzunguko wangu kwa ujumla, na mkanielekeza cku muhimu ya kupata pregnant lakini mpaka leo holaa na mzunguko wangu pia unanichanganya mpaka leo adi nakosa raha.

Mwezi wa saba nimeingia date 9 na wanane date 5 na watisa date 3 watisa tena date 28 wa kumi bado ila dalili naziona plz samahanini kwa usumbufu naombeni msaada nijue mzunguko wangu kwa ujumla unasiku ngapi haswa asanten nawakilisha.
 
habar zenu wapendwa
natumain wote mtakuwa wazima nakumbuka niliomba msaada kwenu kuhusu
kuujua mzunguko wangu kwa ujumla,na mkanielekeza cku muhimu ya kupata
pregnant lakini mpaka leo holaa na mzunguko wangu pia unanichanganya
mpaka leo adi nakosa raha mwez wa saba nimeingia date 9 na wanane date 5
na watisa date 3 watisa tena date 28 wa kumi bado ila dalili naziona
plz samahanini kwa usumbufu naombeni msaada nijue mzunguko wangu kwa
ujumla unasiku ngapi haswa asanten nawakilisha.

Una Umri gani? Kama una miaka chini ya 24, mara nyingi mzunguko huwa unstable, kwa maana kuwa tarehe zako zinakuwa hazitabiriki kutokana na kutofuata mtiririko unaojirudia.
 
ahahaa we ni jina tu hilo ucjali nina umri wa kiaka 26 mpendwa
 
Fanya mara nyingi unavyoweza
Katikat ya mzunguko wako angalau wiki nzima, ndani ya miezi 3-6 kitaeleweka
Otherwise nenda hospital kwaajil ya vipimo ambapo wanaweza kukupa dawa za kurekebisha hormone (sishaur sana, labda plan A ikishindikana kabisa)

Kula mlo kamili na fanya mazoez kuandaa mwili..... Machungwa kwa wingi, ni mazuri
 
ok asante sana ila hospital nilienda pia nilikuwa na tatizo la kuruka nilikuwa nakaa miez mitatu bila kuona cku wakanishaur nipime full blood picture nikapima wakanambia nina high prolactin yaan homon za maziwa zipo juulu nikapewa dawa nitumie zinaitwa bramestone 2.5gm nilitumia toka mwez wa sita adi wa tisa lakin saiv naziona kama kawaida tatizo ni hilo mzunguko wangu bado siuelew wa cku ngap kwa ujumla ili niplan jinsi ya kupata mtt.
 
Pole sana angalia uzito wako kama umezidi sana fanya jitihada za kuuweka sawa, sasa sijui na mwezako naye ameenda hospital maana usitibu issue moja kumbe na kwingine kuna issue.

Ulishawahi kutumia dawa za kuzuia uzazi kabla? maana inaonyesha unamzunguko wa siku 25 to 30 ambao sio mbaya sana, pili punguza mawazo ya performance ya kutaka kupata mtoto inawezakana una mawazo na mtako wa lazima kwa kipindi hiki lakini ukweli unabakia pale pale kuwa mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu so take it easy and enjoy the ride
 
yaani cjawah kutumia dawa za uzazi wala sindano na wala cjawah kupata mimba cjui nina tatizo gam lingine jaman nashukuru kwa ushaur wako kusema ukweli mume wangu hajawah kwenda hospital inabid nae aende
 
Hesabu mwenyewe mzunguko wako, kalenda ya ukutani itakudanganya
 
Na mwenzako amefanya sperm analysis?

Mie sio dr ila kama mzunguko wako hauuelewi kutana na mwenzio siku ya 10-18

La nunua ovulation kit
 
Muone daktari atakusaidia kuelewa mzunguko wako lakini pia kwa ajili ya vipimo muhimu
 
Back
Top Bottom