Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

Wewe unajua nini kuhusu kupenda????
 
jamani nifikishieni ujumbe kwa Smile me nampenda nataka awe mke wangu. ila naogopa kumwambia. huu ndio black


Unashangaza ulimwengu, unamuogopa ana mapembe? Smile weeee uko wapi? kataa bana mwanamume muoga hakufai
 
Last edited by a moderator:
Niko Mbeya Mpendwa wangu, Vp Ndio umenikubali?
 
Ha!!..... Smile.....njoo huku.......shemeji anakuogopa.......
 
Last edited by a moderator:
Najiamini ila pa kumuanza sasa c unajua hatujawahi ata salimiana
 
Natu Pret Utanifanyia mpango Me silala kwa huyu Mrembo, Nimekua kama zombie
 
Wewe Unaniharibia Mimi ata Dar cpajui kwanza
 
Mmmh wewe hatari Usije ukamkashifu mwanadada wa watu kama yule wa last week ulivyo mwanika humu !! yaani baada ya kukupokea na ..... halafu ukaanza eti..eti!
Basi mara hii uwe Rijali mezea tu.
 
Ndo hapo ikute we ndo mume wake halisi! Then unamtongoza tena hapa na anakukubalia!
Mkikutana sasa!
Mie simo!
 
Back
Top Bottom