Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

KIUKWELI NINAMPENDA NATAKA NIMVISHE PETE YA UCHUMBA ILI AAMINI NINAMKUBALI, NIFIKISHIENI UJUMBE WAPENDWA AU MNIPE ATA No. yake
 
Na wewe unanirushia sasa hutaki nipate mke na mimi
 
Smile my dia uko wapi!!!!!!


Khaaaaa! Kumbeeeee. poa tu Smile . . . .

[h=3]Nataka Kulewa by Diamond[/h]




we niache niende niende! niende niende!
niache niende niende, niende niende!

(verse1)
Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua
Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua
Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua
oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenikaa moyoni

(chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi
nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi
we niache niende niende!, niende niende!
niache niende niende, niende niende!

(verse2)
Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa
kukata vilimi limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda
kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu unajisumbua
si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawahonga

oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenijaa moyoni

(chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi
nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi

we niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende!
niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende!

[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]​


 
Last edited by a moderator:
Natu Pret Utanifanyia mpango Me silala kwa huyu Mrembo, Nimekua kama zombie

ok...nitakusaidia.....kwanza nieleze....unaendesha gari gani....?....la kwako binafsi.........
 
Smile wee, waringavyo? Au ushaona mkaka wa watu hana mpango?
 
Kiraisi tu uchukue mtoto we kweli umerogwa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mpoki mwenyewe alisema hakuna baba mwenye Gari bali kuna baba mwenye Nyumba
Smile mama We nikubalie mimi namiliki Pesa Na Nyumba Gari Cna
 
Wewe Jinsia yangu Ya nini Kwani Smile ni Jinsia gani, Ukijua hilo umepata jibu
 
Back
Top Bottom