Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

1.mapenzi ya JF yanaishia hapa hapa tu..

2&3.umeweka misemo mingi kama tulikuwa tunaelekea moro basi umeniacha chalinze

Khaaa, mbona kila siku mashuhuda wanapost hapa kuwa wameshagegedana? Wengine hayaishii JF . . .

Hilo la mwisho mtafute Mzee Ruksa au Khadija Kopa atakufafanulia.

Ngoja nimtafute huyo Smile aje aje hapa atie neno!
 
je, uinalikumbuka lile tangazo la kijana anayetaka kuoa? "umejipinga pangaje kijana kumchukua binti yetu....."
 
Khaaa, mbona kila siku mashuhuda wanapost hapa kuwa wameshagegedana? Wengine hayaishii JF . . .

Hilo la mwisho mtafute Mzee Ruksa au Khadija Kopa atakufafanulia.

Ngoja nimtafute huyo Smile aje aje hapa atie neno!
mwambie mi simtaki bwana
 
sipendi na sitaki kusikia habari za wanaume we kijana....
 
Khaaa, mbona kila siku mashuhuda wanapost hapa kuwa wameshagegedana? Wengine hayaishii JF . . .

Hilo la mwisho mtafute Mzee Ruksa au Khadija Kopa atakufafanulia.

Ngoja nimtafute huyo Smile aje aje hapa atie neno!

yule mapenzi yetu yaliishia hum hum....

sa mi hadi nimpate mzee wa ruksa saa ngap,hadija kopa bado ana machungu na mumewe

hawezi kunieleza vizuri,niambie wewe Superman
Smile yuko wapi sijui
 
Last edited by a moderator:
du...ngoja na mimi sijui nimwandikie nani hapa...!!!:help::help::help:
 
sipendi na sitaki kusikia habari za wanaume we kijana....

hahahhahahahaha
Smile huyu atakuwa amesikia huwa unapika umevaa ndio maana kavutiwa. calm dowm
 
Last edited by a moderator:
Jf inapoelekea cpo kabisa,watu na pumbuzetu tumehama kule facebook {kwa watoto vikojozi} tuje huku kwa kina Lara1,Mzizi mkavu,na wengne wanao jielewa, ajabu nyie watoto mna 2pandisha nyege2,embu acheni izo mambo bna eboo.!!
 
Back
Top Bottom