Lulundi jr.
Member
- Aug 16, 2013
- 10
- 1
Unampendaje unayemuogopa ha ha ha umepotea njia we Smile jipoteze pia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazungu wanasema:i am dying for you Heaven on earth-mtoto wa kichagga
Tangaza akaunti yako ina shing gapi sio kutangaza mapenzi mjini hapa ohoo...!!
jamani nifikishieni ujumbe kwa Smile me nampenda nataka awe mke wangu. ila naogopa kumwambia. huu ndio black
Smile my dia uko wapi!!!!!!
[h=3]Nataka Kulewa by Diamond[/h]
we niache niende niende! niende niende!
niache niende niende, niende niende!
(verse1)
Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua
Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua
Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua
oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenikaa moyoni
(chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi
nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi
we niache niende niende!, niende niende!
niache niende niende, niende niende!
(verse2)
Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa
kukata vilimi limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda
kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu unajisumbua
si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawahonga
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenijaa moyoni
(chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi
nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi
we niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende!
niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende!
[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]
Natu Pret Utanifanyia mpango Me silala kwa huyu Mrembo, Nimekua kama zombie
mwenyekiti akaunti yako ina sh ngapi vileeeeeee!!!!!