Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

sasa kama huamini nakupenda nataka nikutumie ticket ya ndege tukale bata bondeni
 
badili jina ndio uongee acha wanaume watoe hisia zao
 
Sema umemtamani Smile hasa baada ya kuiona avatar yake nahisi, hujampenda wewe!
 
Last edited by a moderator:
Unampenda smile! Wallet yako iko full? Mwenzio smile chai anakunywa pemba,lunch A town dinner rock city.utaweza.
 
Smile hutamweza ndugu yangu nilishatangaza nia mwaka mmoja uliyopita jaribu preta ila yeye anapatikana A town
 
Naku PM namba yake mkuu ila hua hajibu message na whatsapp yuko online..24/7
 
hakuna mfupi hapa niangalie tena utagundua mwonekano wangu
 
Back
Top Bottom