greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Huwa unachukua hatua gani ili kuepuka utapeli wa kiwanja...Mtu unatapeliwaje ardhi?
Watanzania wengi wanapenda shortcut na kupata mali kwa bei au njia rahisi na ni mwanya huo huo unaowaponza wanatapeliwa kitu kama ardhi ambacho hakihami na ukifuatilia kabla ya kununua unapata majibu.
Ukitapeliwa ardhi jua uliingiza tamaa wakati unafanya mchakato.wa kuinunua.
Wewe tumekumark. Referendum ikapita nakuhakikushia hukanyagi Moshi. Believe me.Matapeli wanajulikana ukiona sehemu kuna wale ndugu zake Maghayo ...Hao ndio wameleta utapeli mikoa ya pwani
Ni kufuata taratibu tu za ununuzi wa ardhi, wasiliana na wakili wako akuongoze vyema.Huwa unachukua hatua gani ili kuepuka utapeli wa kiwanja...
Mbezi Beach na Mikocheni B. Huko viwanja vina hati mbili mbili hadi tatu, na zote zimetolewa na mamlaka husika.Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
Niseme tu, wengi wa wahusika wanaishi Kimara, sasa chakachua ni watu wa asili ipi wameitana huko!Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
Lakini mbona kuna maeneo utapeli ni mwingi kuliko maeneo mengine.Yaani hili ni gumu sana kiwanja kinauzwa kwa watu zaid ya 3 na mjumbe , mwenyeki ma mtendaji wote wanahusika na risiti unapewa
Kimara Kuna Wameru,Wachagga na Wapare.Niseme tu, wengi wa wahusika wanaishi Kimara, sasa chakachua ni watu wa asili ipi wameitana huko!
Sasa kwa wale wasio na uwezo wa kuwa na wakili,?Ni kufuata taratibu tu za ununuzi wa ardhi, wasiliana na wakili wako akuongoze vyema.
Huwa ni hawahawaKimara Kuna Wameru,Wachagga na Wapare.
Sasa je, maeneo gani ni hatari kununua ardhi?
Kwahiyo watu wa hilo kabila ndiyo matapeli wa ardhi...?
ChamaziJamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
Duh,Kwahiyo Kule Bunju na Boko, walio tapeliwa wote ni Wapumbavu?Ni mtu Mpumbavu,Tahira,Zwazwa & Mwenye utindio wa Ubongo ambaye anaweza kutapeliwa Ardhi!
Hapa umenipa tahadhari,mana moja kati ya maeneo ambayo natamani kumiliki ardhiKahama municipal,huko kuna madudu ya aliyekua mkurugenzi Andason na wahuni wenzake Yusufu , Msangi na wengine ni hatari. Viwanja vya nyumba za watumishi wa serikali wamevimega wakajimilikisha na vingine kuuza
Hii naiskia kwako...Kuna tukio limeshatokea huko?Chamazi