Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Huo ni uzembe wakoSasa kwa wale wasio na uwezo wa kuwa na wakili,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uzembe wakoSasa kwa wale wasio na uwezo wa kuwa na wakili,?
Morogoro sehemu gani?Morogori
Ingekuwa kisa uzembe wa mtu,sidhani kama hili tatizo lingehitaji mkono wa Waziri kulitatua.Huo ni uzembe wako
Hadi hukoMwanza, wilaya ya nyamagana -nyashishi
ukitaka kiwanja saivi uku ukae kitaalamu usije uziwa mbuzi kwenye gunia
Kwa Takwimu za serikali, Dodoma mjini yaongozaDodoma.....Dodoma......Dodoma......Dodoma.....Dodoma......Dodoma mjini.
1.KIBAHA, VIKAWE, MAPINGA,Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
Ni kweli watu wanatapeliwa sana kwa sababu wachache wao wanataka ardhi kwa bei nafuu ilhali thamani ya ardhi iko juu zaidi kwa mfano huo wa mkoa wa pwani wiliya ya bagamoyo1.KIBAHA, VIKAWE, MAPINGA,
2BAGAMOYO-KEREGE,ZINGA, KILOMO, MAKURUNGE, FUKAYOSI
3.KIGAMBONI-BUYUNI, YALE YALE, KIMBIJI
WATU WANATAPELIWA KIRAHIS KWA SBB,Ni kweli watu wanatapeliwa sana kwa sababu wachache wao wanataka ardhi kwa bei nafuu ilhali thamani ya ardhi iko juu zaidi kwa mfano huo wa mkoa wa pwani wiliya ya bagamoyo
Ndo maana tunawaambia kabla ya kununua kiwanja tafuta kampuni na uthibitishe kuwa ipo kihalali ili uepukane na utapeliWATU WANATAPELIWA KIRAHIS KWA SBB,
MAKUBALIANO YANAFANYIKA SERIKALI ZA VIJIJI, KAMA VIJIJI VYA KIMELE (PALE NI HARARI SANA)
KWA SBB, DIWANI, MWENYEKTI SERIKALI YA MTAA NI NDUGU, KABILA MOJA.
MWEZI JANUARY KLINIK YA ARDHI IMEPITA PALE KUNA WATU ZAIDI YA 80 WANAOHUSIKA NA UTAPELI WALKIKAMATWA, KISHA KUKABIDHIWA TAKUKULU.
KWA KIFUPI, WAHITAJI WA VIWANJA NA MASHAMBA, MKOA WA PWANI KUWENI MACHO.
MKURANGA NAKO KUNA TISHA!
Hahaha, huko Fukayose Kuna rafiki yangu alitapeliwa miaka mitatu nyuma...1.KIBAHA, VIKAWE, MAPINGA,
2BAGAMOYO-KEREGE,ZINGA, KILOMO, MAKURUNGE, FUKAYOSI
3.KIGAMBONI-BUYUNI, YALE YALE, KIMBIJI
Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
Inaogopesha...Kata ya Mambwepande na Mitaa yake naona ndio vinara wengine wakifutia.
Kule kuna uvamizi wa maeneo ya watu sijapata kuona.
Kuna syndicate ya kuratibu wizi huo wa maeneo ya watu.
Halafu zamani walikuwa ukienda mwenye eneo halali wana kuvamia ml wanakudhalilisha, wanakuvua nguo unabaki uchi wa mnyama , wanakupiga mapanga n.k
Yaani wana mioyo ya kikatili sijapata kuona.
Wakanzisha matawi ya CCM ili kujificha kama mwamvuli lakini siku hizi wameshastukiwa bila zao wazi wazi .
Wamevamia kawakata vipande wakauzia watu chungu nzima.
Ni huzuni kwa kweli.