Natumia Freebasics mku
Amber rutty baby, hebu na mi nielekeze hiyo free basic ndo unaitumiaje?Asante
www.freebasics.comAmber rutty baby, hebu na mi nielekeze hiyo free basic ndo unaitumiaje?
Alafu we Amber rutty baby uache ile michezo yako yakufunwa 0714 halafu unatutumia
😂😂😂best usipende sana vitonga..umenigaya hata wishes tu hakuna😤bas ht zawadi ya xmas hakuna jamn😑..nipe mie nitakupa pathaka😊😊We ni Me au Ke?
Utakuwa unalaana wwHapa hakuna unachotafuta zaidi ya kulawitiwa na watakulawiti kwelikweli....
Heri ya Christmas na mwaka mpya
🎉🎄🎄🎄🎆🎆🎆
Jamani ndugu zangu Nina shida vibaya mno shida yangu sio kubwa sana
Nitashukuru kwayeyote atakaye nielewa
Nina shida ya vocha ya 2000 tuu!! Hata ukinitumia jero nitashukuru.
NB:sipo mjini kuna mahali nipo jamanii nimekosa hata ya vocha natakaniwasilia na mama anagu jamaaa
Njoo PM
Natanguliza shukrani
Si ndio hilo jukwaa lingekuwepo ungesaidiwa kwa haraka. Sababu haiingii akilini unatumia smartphone simu ina bando la kuingilia jf halafu ukose wa kumuomba buku mbili huko uliko mpaka uje huku kwa watu tusiojulikana.Hapana dada nimekwama yanii majii yamenifika shingoni me sipendi kijidhalilisha
Aliye kwambia mm amber nan??
Hahahaha,tatizo hutaki kuja PM😂😂😂best usipende sana vitonga..umenigaya hata wishes tu hakuna😤bas ht zawadi ya xmas hakuna jamn😑..nipe mie nitakupa pathaka😊😊
Ndilo jina lako unalotumia hapa
Natumia freebasic alafu sippo mjini kwa bahati mbaya nilisahau line ambayo ina majinaSi ndio hilo jukwaa lingekuwepo ungesaidiwa kwa haraka. Sababu haiingii akilini unatumia smartphone simu ina bando la kuingilia jf halafu ukose wa kumuomba buku mbili huko uliko mpaka uje huku kwa watu tusiojulikana.
Ila usijali ngoja wenye nazo waje wakupatie mwaya.
Ww na raybabby Imani yenu ni moja??
Watu 500 tukikuchangia 2000 una milioni tayar
PmBro weka namba tu mimi nikutumie hiyo 2000.
Hio ya bundle umepata wapi