JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU

JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU

Kwa uchafu niliiona dogo akiutoa huko nyuma kwako alipomaliza kukunanihii sitaki kukuona au kukusikia tena.
Hakuna wapenda Mavi huko uliko ukawauzia
 
Nikwel mkuu nataka nibadili ID aikutegemea kama ingelete shida kiasi hiki

Wengi wanazani Mimi ndio yule
Ahsante kwa kuwa mkweli as I believe you could easily lie. Kudos! You know I believe kwamba hii ni ID tu umeamua kutumia lakini wewe si yule wengi wetu tunaemdhania ndie. Ndio maana kwa moyo safi kabisa nkataka nkutumie but nice that good people are still out there.
 
Mi mwenyewe nilikuwa najiandaa kutuma hiyo 2000, ghafla nikaona kwamba smesema katumiwa.inatosha,angekuwa anahitaji zaidi angesema, sometimes unaweza kupata shida si kwamba masikini,mazingira tu unayokuwepo yanahitaji assist!
 
Nikwel mkuu nataka nibadili ID aikutegemea kama ingelete shida kiasi hiki

Wengi wanazani Mimi ndio yule
Pole sana! Nimeliona hilo na pia kadhaa za wadau kwako. Usijali ndio maisha na itakuwa njema kama hakuna yoyote anaekujua mpaka sasa. Unaonekana ni jasiri sana. Namna ulivvyokuwa ukiyavumilia yale matusi na kejeli ni hatari
 
Mi mwenyewe nilikuwa najiandaa kutuma hiyo 2000, ghafla nikaona kwamba smesema katumiwa.inatosha,angekuwa anahitaji zaidi angesema, sometimes unaweza kupata shida si kwamba masikini,mazingira tu unayokuwepo yanahitaji assist!
Kabisa kabisa, juzi flani hivi nlikuwa Tanga. Nikachkua pikipiki ya mzee nkawa naelekea shamba asubuhi sana. Ile pikipiki iliniharibikia sehemu porini kidogo. Nlikuwa na 450,000 mfukoni lakini hazikufaa kitu maana ilibidi nitafute fundi aitengeneze. Gharama za fundi zilikuwa ni 3000 tu. Hapa ndio unaona kwamba sio kila anaesima asaidiwe kwa wakati flani anakuwa eti ni kapuku sana. Na hata kama ni kapuku, no vizuri watu kusaidiana
 
Back
Top Bottom