JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU

JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU

Nimependa tuu !
Kweli friend?? Unajua sometimes we are being concerned. Mioyo inatusuta, nahisi ninayo 2000 ya kumsaidia mtu why shouldn't I help?? Sio kama unakuwa unazo nyingi hapana. Halafu kuhusu binaadam na mungu wake, who am I to judge??
 
Pole sana! Nimeliona hilo na pia kadhaa za wadau kwako. Usijali ndio maisha na itakuwa njema kama hakuna yoyote anaekujua mpaka sasa. Unaonekana ni jasiri sana. Namna ulivvyokuwa ukiyavumilia yale matusi na kejeli ni hatari
Asnte mkuu nishapoaa
 
Kabisa kabisa, juzi flani hivi nlikuwa Tanga. Nikachkua pikipiki ya mzee nkawa naelekea shamba asubuhi sana. Ile pikipiki iliniharibikia sehemu porini kidogo. Nlikuwa na 450,000 mfukoni lakini hazikufaa kitu maana ilibidi nitafute fundi aitengeneze. Gharama za fundi zilikuwa ni 3000 tu. Hapa ndio unaona kwamba sio kila anaesima asaidiwe kwa wakati flani anakuwa eti ni kapuku sana. Na hata kama ni kapuku, no vizuri watu kusaidiana
Well said!!
 
Back
Top Bottom