JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU

JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU

Heri ya Christmas na mwaka mpya
🎉🎄🎄🎄🎆🎆🎆

Jamani ndugu zangu Nina shida vibaya mno shida yangu sio kubwa sana
Nitashukuru kwayeyote atakaye nielewa

Nina shida ya vocha ya 2000 tuu!! Hata ukinitumia jero nitashukuru.

NB:sipo mjini kuna mahali nipo jamanii nimekosa hata ya vocha natakaniwasilia na mama anagu jamaaa
Njoo PM
Natanguliza shukrani

Weka number tukuwezeshe. Sisi ni kina nani mpaka tuwe wa kwanza kukutupia jiwe mama weka nama tukuhamishie bando
 
Hapana dada nimekwama yanii majii yamenifika shingoni me sipendi kijidhalilisha
Si ndio hilo jukwaa lingekuwepo ungesaidiwa kwa haraka. Sababu haiingii akilini unatumia smartphone simu ina bando la kuingilia jf halafu ukose wa kumuomba buku mbili huko uliko mpaka uje huku kwa watu tusiojulikana.

Ila usijali ngoja wenye nazo waje wakupatie mwaya.
 
Natumia freebasic alafu sippo mjini kwa bahati mbaya nilisahau line ambayo ina majina

Nikaona isiwe tabu ngoja nijilipue kwasababu hakuna anaye nijua waungwa jf niwengi 2000 sio kitu kama utu
 
Back
Top Bottom