Kweli friend?? Unajua sometimes we are being concerned. Mioyo inatusuta, nahisi ninayo 2000 ya kumsaidia mtu why shouldn't I help?? Sio kama unakuwa unazo nyingi hapana. Halafu kuhusu binaadam na mungu wake, who am I to judge??Nimependa tuu !
Asnte mkuu nishapoaaPole sana! Nimeliona hilo na pia kadhaa za wadau kwako. Usijali ndio maisha na itakuwa njema kama hakuna yoyote anaekujua mpaka sasa. Unaonekana ni jasiri sana. Namna ulivvyokuwa ukiyavumilia yale matusi na kejeli ni hatari
Hapa unalotaka ni kunidhalilisha rafiki.ππππππ utanifanya nkakutumie 50k sasa hivi ujueMtoa Mada na Mimi Nina shida ya 500 tuu ya mirinda.
Naomba niunganishe hapa hapa kwenye Uzi wako.
Hongera mkuu kwa moyo huo.Kweli friend?? Unajua sometimes we are being concerned. Mioyo inatusuta, nahisi ninayo 2000 ya kumsaidia mtu why shouldn't I help?? Sio kama unakuwa unazo nyingi hapana. Halafu kuhusu binaadam na Mungu wake, who am I to judge??
Hongera nawe mkuu. Najua una moyo mkubwa kuliko huuHongera mkuu kwa moyo huo.
Familia nyingine wananunua thoda kwa makreti..Mimi nataka tuu ya jero ..!Hapa unalotaka ni kunidhalilisha rafiki.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utanifanya nkakutumie 50k sasa hivi ujue
Hahahahaahah. Uweke namba hapa??? πππππππππFamilia nyingine wananunua thoda kwa makreti..Mimi nataka tuu ya jero ..!
Niweke namba hapa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaahah. Uweke namba hapa??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I mean your account isn't hacked, is it??
Ningekata rufaa ninakokujua mimiπππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaa hizi ndizo zawadi za sikukuu.Mtoa Mada na Mimi Nina shida ya 500 tuu ya mirinda.
Naomba niunganishe hapa hapa kwenye Uzi wako.
Well said!!Kabisa kabisa, juzi flani hivi nlikuwa Tanga. Nikachkua pikipiki ya mzee nkawa naelekea shamba asubuhi sana. Ile pikipiki iliniharibikia sehemu porini kidogo. Nlikuwa na 450,000 mfukoni lakini hazikufaa kitu maana ilibidi nitafute fundi aitengeneze. Gharama za fundi zilikuwa ni 3000 tu. Hapa ndio unaona kwamba sio kila anaesima asaidiwe kwa wakati flani anakuwa eti ni kapuku sana. Na hata kama ni kapuku, no vizuri watu kusaidiana
Sawa mkuu [emoji23][emoji23]Ningekata rufaa ninakokujua mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtumie kwanza mtoa mada hiyo 2000 mkuu.Ewaaa hizi ndizo zawadi za sikukuu.
Nifungulie pm nipate namba ZA KUKUTUMIA cute be.
Weka namba tukuchangieFamilia nyingine wananunua thoda kwa makreti..Mimi nataka tuu ya jero ..!
Niweke namba hapa??
Ndiyo ili tumtumie mkuu, lazima namba ipatikane.Hahahahaahah. Uweke namba hapa??? πππππππππ
I mean your account isn't hacked, is it??
Sawa Madame ,anitumie namba nimtumie. Halafu nawewe nitakutumia, ila usiweke namba hapa nifungulie pm.Mtumie kwanza mtoa mada hiyo 2000 mkuu.
Haya si ndiyo maneno. Asante mkuu[emoji120]Weka namba tukuchangie
Amekusikia ngoja akutumie namba.Sawa Madame ,anitumie namba nimtumie. Halafu nawewe nitakutumia, ila usiweke namba hapa nifungulie pm.