Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
πππππππ unanikoshaga sana cute bMtumie kwanza mtoa mada hiyo 2000 mkuu.
Mtumie kwanza mtoa mada hiyo 2000 mkuu.
plz naomba nikutumie mimi.Haya si ndiyo maneno. Asante mkuu[emoji120]
Mtoa mada ameshapata tayali amethibitisha hilo na kushukuru shida yake ni 2000 tuAmekusikia ngoja akutumie namba.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] unanikoshaga sana cute b
Amtumie tuu hata ya kesho.Mtoa mada kasema alishapata.
Heri ya XMass dogo.
Ya benk mkuu nitachelewa kuipata ninywe soda.Kumbe shida yako nikupata namba yake. cute b. Tuma namba ya benki siyo simu watakusumbua Sana [emoji3][emoji38][emoji3]
plz naomba nikutumie mimi.
Amtumie tuu hata ya kesho.
Ow asante sana my kaka.
Heri ya sikukuu, natumaini unafurahia.
Hata ya wakala vemsYa benk mkuu nitachelewa kuipata ninywe soda.
Au labda nitume ya wakala.
Chief ,chief . HERI YA XMASS.Mtoa mada kasema alishapata.
Heri ya XMass dogo.
Chief ,chief . HERI YA XMASS.
MIMI NITATUMA PESA YOYOTE ITAKAYOKUTOSHA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mkuu si ninapokea mkono wa sikukuu kwa wote ili ifike hata kreti!
Tulia mkuu.Jamani uzi umefungwa ,mtoa mada kashapata 2000, tuhamie nyuzi " nyengine"
Kwani Mimi sio binadamu mkuuUmberluty
Umekosaje vocha
Sawa mkuu.Mtoa mada ameshapata tayali amethibitisha hilo na kushukuru shida yake ni 2000 tu
Mtoa mada muungwana kweli