Jamani naombeni ushauri wadau

Jamani naombeni ushauri wadau

benignas

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
39
Reaction score
5
Mm ni kijana mwenye umri usiozidi miaka ishirini na tano .huwaga najishughulisha na kazi za ufundi wa sofa na huwa natengeneza sofa nzuri kwakweli ila ninakuwa namashaka pale ninapokua nikitaka kufungua sehemu ya kuzia bidhaa zangu,kwani mtaji wangu ni mdogo sana ninamtaji wa kutengeneza sofa sets 2 bado siamini kama ninaweza kufungua sehemu ya kuuzia hizo cos ni mchache sana ..ushaur wakubwa
 
unaweza kutafuta mkopo, au kuanzia tafuta mtu mwenye duka la furniture na patana nae akuuzie sofa zako nae achukue faida yake - huyu anaweza kukupa cash mara tu ukifikisha hiyo sofa dukani na pia mambo ya kifunguka vizuri anaweza kukuopesha kufungua pahala pa kutengeneza - usione taabu kushirikisha mtu mwenye pesa na experience ya uuzaji au mwenye duka kwani wote mtafaidika - lakini mpatane kikamilifu ili isitokee kutoelewana. Jitahidi tu na mafanikio mema.
 
Mm ni kijana mwenye umri usiozidi miaka ishirini na tano .huwaga najishughulisha na kazi za ufundi wa sofa na huwa natengeneza sofa nzuri kwakweli ila ninakuwa namashaka pale ninapokua nikitaka kufungua sehemu ya kuzia bidhaa zangu,kwani mtaji wangu ni mdogo sana ninamtaji wa kutengeneza sofa sets 2 bado siamini kama ninaweza kufungua sehemu ya kuuzia hizo cos ni mchache sana ..ushaur wakubwa

Upo wapi na ni pm no. yako nipate sofa set toka kwako
 
Back
Top Bottom