benignas
Member
- Jan 5, 2013
- 39
- 5
Mm ni kijana mwenye umri usiozidi miaka ishirini na tano .huwaga najishughulisha na kazi za ufundi wa sofa na huwa natengeneza sofa nzuri kwakweli ila ninakuwa namashaka pale ninapokua nikitaka kufungua sehemu ya kuzia bidhaa zangu,kwani mtaji wangu ni mdogo sana ninamtaji wa kutengeneza sofa sets 2 bado siamini kama ninaweza kufungua sehemu ya kuuzia hizo cos ni mchache sana ..ushaur wakubwa