cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
- Thread starter
-
- #61
Hata huyo ulie nae wa maisha lazima alitanguliza kadi ya chama. .
Mana sio kwa unazi huooooo
Wa upande wa pili atapendeza zaidi ili wavunje glass na tv ndani ya nyumba vizuri.Chama gani anatakiwa?!
Ila ww unaonekana huna ushirikiano kwny mambo yetu
Yaani we ni kandezi sijawai ona asee
Jamaa wewe kumbe ni KEYaani we ni kandezi sijawai ona asee ila nakupenda sana smart muoache mahonda unioe
Tatizo post kama hizi zinakuja ka'mzaha flan'iv!
Wapo wahitaji wa kweli, siku zote wamekuwa wakiomba Mungu kupata mwanamke toka jf kama zawadi, lakini hii ya kutupia post bila ya kutupia taswira yako halisi ni utani ama soga kama zilivyo soga za kwenye vijiwe vya kahawa.
Weka sura mama watu wathamanishe, weka hata passport size.
Wanaume wanapenda sura na si maneno. Akikuweka ndani ndiyo atapenda maneno yako.
Kanajiamini nyuma ya key board Ila face to face mweupe kama karatasi tuKwa ujasir ulionao ndg yng Cocochanel sikutegemea hata sku moja kuwa ungekuja kuyanyenyekea mapenzi,mm mwenyewe natafuta mwanamke kwaajili ya kuanzisha nae maisha mapya,lakn kujiamini kwako Coco' huwa kunanipa mashaka sana!
Pia,nafikiria kuwa huenda umekuja kwaajili ya kuwatafuta wa2 ambao hawa-support movement za jembe na nyundo.Kama kweli upo serious naomba usome uzi wangu unasomeka hivi "Natafuta mke mwema" na kama utaridhika na vgezo nilivyoviainisha basi njoo pm,ila nahtaji mwanamke ambaye ameshamaliza kusoma...,siyo baada ya mwezi mmoja ataka kwenda masomoni!
Karibu sana Coco' if your serious and commited enough
Thank you!
Iko'ivi chanel, mtu kupost picha feki ujue hayupo serious ama yupo kibiashara.Eeeeeh
Kumbe mnapenda picha.. ndio maana wengi wenu mnatumiwa za uongo na siku ya siku mnabaki kulalamika
Khaaaa mbona tunarushana roho... Mimi hata wa ACT TLP CHAUMA wote nabebaBasi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
πππ
π
Eti kwa majibu haya na ww unataka mume,subiri wajilete
Mkuu hata wasipotaja jina. What if ukiwa mhusiku uko JF na unaliona bandiko.
Unategemea watu watasoma Uzi wote?hiyo verse ya mwisho hawataifikia and hope huko PM kuna jambo.Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
πππ
π
Coco channel ni pm please nikupe namba yangu nipo separated
BASHITE ANATAKA LAKINI MKUTANE KUSIKOJULIKANA.
ATAFANYA UKARABATI WA BARABARA YA KWENDA KWENU BURE KWA SIKU 60.HELA ZA WAUZA UNGA ZIPO.