Jamani natafuta Mume

Jamani natafuta Mume

Kuna wanawake wanafaa kuoa ila sio wewe! Wewe hujitambui! soon unakwenda kuwa Bibi.

Acha kujipendekeza pendekeza kwanza then rudi humu..

Ha ha haaaaaa
Kwa avatar yako lazima umevuta miaka mingi sana unaishia kufikiri na mimi kama wewe...

Hazeeki mtu hapa... kujipenda muhimu sanaaaa.
 
Unataka kutuambia kuwa Lumumba street hakuna hata mmoja anayefaa??
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
hii ofa ni nzuri shida tu huwa hatutafutwi tunatafuta kwanza demu wa kugida halafu baadaye anakuwa mke kama mambo yakienda sawa
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
Mimi nimekuja nataka kukuwowa
 
We hata bure sichukuwa just bcoz we ni gamba
 
mie namba yangu 9 nafunga magoli ya ajabu kama lukaku
 
Anatafutwa mtu hapo...!Intelijensia yako uliyotumia ni ndogo sana...!Ilaa watakuja tu

Wewe ndio bomu kabisa kaa chini ujicheke halafu ujipige vibao ulie kwa kuhuona unazo halafu umekula mweleka😀😀😀
 
Sawa ,,nmekuelewa ,,Ujue Mungu hamtupi mja wake .... Binadam wote tu Mali yake lkn Bimadamu wale wanaomtegemea zaidi ndo hufaidika naye zaidi.

Hiiii inamaana unaweza kua nawatoto watatu lkn mmoja tuu ndo ukampenda sana .lkn pia inatuonyesha kua ,, Mbali nawote kua wanaume Unapaswa uanze na upande uliopo wewe.....embu tupe kwanza nafasi sisi makada wenzako ..ukikosa ndo uende uko !!
Naamin hiii itakuondolea kero namigogoro isokua natija toka kwahao jamaa!!!.

Asikuambie mtu bana ,,oana namtu ambaye mnafanana had kiitikadi ,,utafurahia sana...Leo mnaamua mvae wote sare za chama[emoji8][emoji8][emoji8].

Here is my number let talk !!!.

011-7-812-653-03-12...

Unipokee nikija kuchukua kadi siku nikiamua kama sitaona uvivu..

Nicheke tu nipite..
😀😀😀
 
Mi wanawake wenye mdomo kama chuchunge siwapendi.
Habari tupo kitandani unaanza kunihadithia story za magufuli. Mi nataka huo ujinga

😀😀
Utakuwa na bahati mbaya inayosababishwa na kitu upande wako akijipi hadi unawaboa.
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
anatafutwa mtu amwagiwe risasi 30 nyingine.
 
Hao wanaokusifiaga kwa nondo inabidi wakapimwe akili ...
 
Kwa jinsi ulivyoandika inaonyesha ni ile ya kuambiwa ebu panda araka araka nataka kulala mimi kesho nawahi kazini.
 
Ukioa huyu jiandae kuzaa mtoto mwenye IQ zero kama bashite....yaani kila mtihani atakuwa anafeli tu
 
Back
Top Bottom