ziba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 474
- 546
Una haki ya kuto kumfahamu maana amechanganya majina lkn ana maanisha Paulo makonda ambaye jina lake halisi ni Daudi Bashite yaani zero brainUliyemtaja simfahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una haki ya kuto kumfahamu maana amechanganya majina lkn ana maanisha Paulo makonda ambaye jina lake halisi ni Daudi Bashite yaani zero brainUliyemtaja simfahamu.
haaaaaa nkajua unakuja tuyajengeUnipokee nikija kuchukua kadi siku nikiamua kama sitaona uvivu..
Nicheke tu nipite..
😀😀😀
Wee jamaa ni domo zenge na mpenda mteremko, utaolewa sasa oooh....0711456908
Sipati picha jinsi unavyoamua kunisaliti mchana kweupe peee.Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
😀😀😀
😛
Hahahahahahahaaaaaa nimecheka hatariWanawake wa JF siku usipomfikisha tu kileleni asubuh anareport MMU mapemaaaa.
Unataka kutuambia kuwa Lumumba street hakuna hata mmoja anayefaa??
hii ofa ni nzuri shida tu huwa hatutafutwi tunatafuta kwanza demu wa kugida halafu baadaye anakuwa mke kama mambo yakienda sawa
Mimi nimekuja nataka kukuwowa
Ha hahaNdio mbinu mpya ya kujitangaza mtandaoni sio!?
Kweli dunia lukumbalukumba!!!!!
Hahahaa Wasio nazo ndo watakuja,Unafikiri sijaielewa thread??Wewe ndio bomu kabisa kaa chini ujicheke halafu ujipige vibao ulie kwa kuhuona unazo halafu umekula mweleka😀😀😀
We hata bure sichukuwa just bcoz we ni gamba
Utakujaje tena.. kwani si nimeeleza post #1.. ha ha haaa
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
😀😀😀
😛[/QUO
best wishes
anatafutwa mtu amwagiwe risasi 30 nyingine.
Sijambo za siku nyingi ila njoo nikupeti peti hata usiku mmoja usahau shida.Ha ha haaaa
Wewe dogo huachi kunifurahisha... jambo wewe?