Jamani natafuta Mume

Jamani natafuta Mume

Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
Sipati picha jinsi unavyoamua kunisaliti mchana kweupe peee.

Hakiyanai mungu anakuona Coco.

Pokea tu last mchumo.

Mwaaaaaaaa mwaaaaaaaa mwaaaaaaaa
 
Wekeni namba zenu za simu humo kwa matumizi mengine ya ofisi, hhahahahahaahaahhahahah.
 
We hata bure sichukuwa just bcoz we ni gamba

Ha ha haaaaaaa
Kanichukulie basi na kadi yao niwe gamba kabisa.. maana mnapenda kunisukumizia huko na maoni yangu motomoto..
Mtu huwezi kupenda uongozi wa viongozi.. akiwemo Rais bila kuwa mwanachama mwenzao?
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛[/QUO
best wishes
 
Acha aibu sema tuu watakuja UVCCM,Binafsi naogopa damu ya mwanangu isije ingia hiyo virus
 
Back
Top Bottom