Jamani natafuta Mume

Jamani natafuta Mume

Hata huyo ulie nae wa maisha lazima alitanguliza kadi ya chama. .
Mana sio kwa unazi huooooo

😀😀😀😀😀
Uwiiiiiiiii

Wala hayupo kwenye ya siasa kabisaaaaa.
 
Duuu, kumbe kweli Bashite anapakatwa...umeamua kuolewa kabisa? Ila Tanzania si inakataza ndoa za jinsia moja?
 
Tatizo post kama hizi zinakuja ka'mzaha flan'iv!
Wapo wahitaji wa kweli, siku zote wamekuwa wakiomba Mungu kupata mwanamke toka jf kama zawadi, lakini hii ya kutupia post bila ya kutupia taswira yako halisi ni utani ama soga kama zilivyo soga za kwenye vijiwe vya kahawa.
Weka sura mama watu wathamanishe, weka hata passport size.
Wanaume wanapenda sura na si maneno. Akikuweka ndani ndiyo atapenda maneno yako.

Eeeeeh
Kumbe mnapenda picha.. ndio maana wengi wenu mnatumiwa za uongo na siku ya siku mnabaki kulalamika
 
Kwa ujasir ulionao ndg yng Cocochanel sikutegemea hata sku moja kuwa ungekuja kuyanyenyekea mapenzi,mm mwenyewe natafuta mwanamke kwaajili ya kuanzisha nae maisha mapya,lakn kujiamini kwako Coco' huwa kunanipa mashaka sana!
Pia,nafikiria kuwa huenda umekuja kwaajili ya kuwatafuta wa2 ambao hawa-support movement za jembe na nyundo.Kama kweli upo serious naomba usome uzi wangu unasomeka hivi "Natafuta mke mwema" na kama utaridhika na vgezo nilivyoviainisha basi njoo pm,ila nahtaji mwanamke ambaye ameshamaliza kusoma...,siyo baada ya mwezi mmoja ataka kwenda masomoni!
Karibu sana Coco' if your serious and commited enough
Thank you!
Kanajiamini nyuma ya key board Ila face to face mweupe kama karatasi tu
 
Eeeeeh
Kumbe mnapenda picha.. ndio maana wengi wenu mnatumiwa za uongo na siku ya siku mnabaki kulalamika
Iko'ivi chanel, mtu kupost picha feki ujue hayupo serious ama yupo kibiashara.
Hii inakuwa kama hadithi za kujaladia misponji, inakera kuja kutambua ukweli umelishwa tango pori baada ya kumvua mtu!
Tokelezea ulivyo, ili mtu atathimini mwenyewe majaaliwa ya M/Mungu kiroho safi bila kufekisha chochote.
Wewe mmoja umetangaza nia, lakini pm zaweza kufurika. Nawe sasa utawathamanisha hao wagombea binafsi kisha upige kura yako ya ndiyo kwa kuringa.
Ujue hakuna mtu mwenye sura mbaya duniani, kila sura lazima kuna mtu anaisorolea.
Sasa unapigia "dunia" ya gizani, halafu siku ya kukutana inakuwa lawama. Kadhia yote hiyo ya nini?
Kwani umesahau enzi za pen pal ilikuwaje? Ambapo watu walikuwa wanapata wenza kwa mapichapicha kama nilivyoeleza hapo juu.
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
Khaaaa mbona tunarushana roho... Mimi hata wa ACT TLP CHAUMA wote nabeba
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
Unategemea watu watasoma Uzi wote?hiyo verse ya mwisho hawataifikia and hope huko PM kuna jambo.
 
Back
Top Bottom