Jamani natafuta Mume

Ha ha haaaaa
Umenikumbusha mwanzo wa mwaka huu eeeeh
Eti wadogo wangu ha ha haaaaaaaaaa

Sasa kwasababu unaninukuu mimi.naona upo kama unavyoniita.. najua huwezi kaa bila kuninukuu nakupa miezi 6 basi.tulia nisahau..

Lingine sitafuti mume.. naburudika maana wengi humu wananisema sina mume.. nikitaka mume nitakuja kwako kwanza.πŸ˜›
 
ushamkosa mume atafutiwi hivyo dada

Wapi umeona natafuta!?
Na pia ushauri tu.. uyaonayo hayawezekani kwa wenzako yanawezekana... kaa na hiyo fikra.. ni juu yako maisha yako mwenyewe.. acha geza geza fata mikumbo.
 
WANAWAKE WAKAPOTEA WOTE DUNIANI UKABAKI WEWE BADO SITAKUOA.
 
WANAWAKE WAKAPOTEA WOTE DUNIANI UKABAKI WEWE BADO SITAKUOA.

Ha ha haaaaaaaaaa
Basi mimi na wewe tukutane tujitolee kwenda kujenga zile ofisi za waalimu wa Dar.. tutumie saa moja tu nasi tupokee baraka na biz yako nitakusaidia kuitangaza hukoπŸ˜€
 
Ha ha haaaaaaaaaa
Basi mimi na wewe tukutane tujitolee kwenda kujenga zile ofisi za waalimu wa Dar.. tutumie saa moja tu nasi tupokee baraka na biz yako nitakusaidia kuitangaza hukoπŸ˜€

Kwasababu na MTOTO WA KIKE Subiri nikae kimyaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…