Jamani natafuta Mume

Jamani natafuta Mume

kwa mawazo yako naweza kuwa adui na wewe?

kunausemi unasema ukibishana na MPUMBAVU na wewe utakuwa MPUMBAVU.

Mimi kuwa na uadui na wewe ni kujishushia hadhi.

NAKUTAKIA KILA L A HERI UPATE BWANA akuondoe upweke na stress zaku ZALISHWA bila kuolewa wakati wadogo zako wako ndani ya NDOA.

ila upunguze USWAHILI Utapata bwana atakae kuvumilia na watoto wako.

Ha ha haaaaa
Umenikumbusha mwanzo wa mwaka huu eeeeh
Eti wadogo wangu ha ha haaaaaaaaaa

Sasa kwasababu unaninukuu mimi.naona upo kama unavyoniita.. najua huwezi kaa bila kuninukuu nakupa miezi 6 basi.tulia nisahau..

Lingine sitafuti mume.. naburudika maana wengi humu wananisema sina mume.. nikitaka mume nitakuja kwako kwanza.😛
 
ushamkosa mume atafutiwi hivyo dada

Wapi umeona natafuta!?
Na pia ushauri tu.. uyaonayo hayawezekani kwa wenzako yanawezekana... kaa na hiyo fikra.. ni juu yako maisha yako mwenyewe.. acha geza geza fata mikumbo.
 
Ha ha haaaaa
Umenikumbusha mwanzo wa mwaka huu eeeeh
Eti wadogo wangu ha ha haaaaaaaaaa

Sasa kwasababu unaninukuu mimi.naona upo kama unavyoniita.. najua huwezi kaa bila kuninukuu nakupa miezi 6 basi.tulia nisahau..

Lingine sitafuti mume.. naburudika maana wengi humu wananisema sina mume.. nikitaka mume nitakuja kwako kwanza.😛

WANAWAKE WAKAPOTEA WOTE DUNIANI UKABAKI WEWE BADO SITAKUOA.
 
WANAWAKE WAKAPOTEA WOTE DUNIANI UKABAKI WEWE BADO SITAKUOA.

Ha ha haaaaaaaaaa
Basi mimi na wewe tukutane tujitolee kwenda kujenga zile ofisi za waalimu wa Dar.. tutumie saa moja tu nasi tupokee baraka na biz yako nitakusaidia kuitangaza huko😀
 
Ha ha haaaaaaaaaa
Basi mimi na wewe tukutane tujitolee kwenda kujenga zile ofisi za waalimu wa Dar.. tutumie saa moja tu nasi tupokee baraka na biz yako nitakusaidia kuitangaza huko😀

Kwasababu na MTOTO WA KIKE Subiri nikae kimyaa.
 
Back
Top Bottom