Jamani natafuta Mume

Jamani natafuta Mume

Ukiwazacho na ulinenalo mda mwingi kwa ulimi wako basi unaliishi.....umetoa picha ya mazaifu yandoa yako yanavohisiwa kuwa.......
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
Mimi nakuchukia sana u ccm wako
 
Ukiwazacho na ulinenalo mda mwingi kwa ulimi wako basi unaliishi.....umetoa picha ya mazaifu yandoa yako yanavohisiwa kuwa.......

Ha ha ha haaaaaaaaaa
Umeyaandika wewe wapi hayo kwenye post namba 1... eeeeeeeeeh unatamani lingekuwa tangazo la kweli..

Tabu nyie watu hamjui kuburudika usiriasi kila sekunde.. pita huko niondolee gubu la majonzi hapa

Kumbuka Love connect ipo nenda huko kajitangaze
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
Kama hujaolewa mume anayekufaa wewe ni ccm
 
Back
Top Bottom