Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]carbamazepine hapa ataniua kwa kweli acha nilikuwa namsalimia tu coco.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]carbamazepine hapa ataniua kwa kweli acha nilikuwa namsalimia tu coco.
Kwasababu na MTOTO WA KIKE Subiri nikae kimyaa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Carba njoo uone
carbamazepine hapa ataniua kwa kweli acha nilikuwa namsalimia tu coco.
Mimi nakuchukia sana u ccm wakoBasi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
😀😀😀
😛
"Kibaya chajitembeza"
Kwasababu na MTOTO WA KIKE Subiri nikae kimyaa.
Ukiwazacho na ulinenalo mda mwingi kwa ulimi wako basi unaliishi.....umetoa picha ya mazaifu yandoa yako yanavohisiwa kuwa.......
Mimi nakuchukia sana u ccm wako
Ila kama huna mme njoo pm tuyajenge nitakubadirisha taratiibuDuh
Kwanza hilo jina la wapi refu kama treni mpya anazotaka kuleta Magufuli.
Mtoto wa kike??!!!
L
L
.
.
...
,,,
K,,,
. l. . .
O. I .
.
[emoji769]
Utaliweza shangingi la ccm mkuu?analala kwenye mikesha ya mwenge unapowashwa hadi unazimwaBana embu njooo uku tuyajenge !!!.
yani mimi kama nakupata cha kwanza ntakwambia u mtusi bashite then mengine yafuateHa ha haaaa
Hawawezi bana
Kama hujaolewa mume anayekufaa wewe ni ccmBasi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..