Jamani...Nauliza tu

You can say that again and again and again! Kaizer nimemwachia mtalaka wangu Smiles....ndio uzuri wa sheria yetu namba 3....Kizuri....?

Sasa bahati mbaya sheria namna tatu hai-apply kwako... Kwa maana una kazi ya kufukuzia tuu kila siku hadi umechoka maskini! Kwa mwendo wako huo sasa hiyo infidelity unafanyaje?? :confused2: mbona zero kabisa...
 
(Hivi hapo JJ umeshaweka order ya KIti MOto mweka hazina?)

:biggrin1::biggrin1:

Ngoja kwanza nimalizane na Wiselady hapa mwarubaini gesti hausi:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
You can say that again and again and again! Kaizer nimemwachia mtalaka wangu Smiles....ndio uzuri wa sheria yetu namba 3....Kizuri....?

Nahisi tatizo litakuja kny itikadi maana niko upinzani,smiles umempa talaka ngapi?
 
Wiselady unataka nibadili mawazo juu yako?:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:😛reggers:😛reggers:😛reggers:

ha haaaaaaaaaaaa. wizi mtupu!
 
Sasa bahati mbaya sheria namna tatu hai-apply kwako... Kwa maana una kazi ya kufukuzia tuu kila siku hadi umechoka maskini! Kwa mwendo wako huo sasa hiyo infidelity unafanyaje?? :confused2: mbona zero kabisa...
Smiles nimecheka sana, anasema amekupa talaka lkn sidhani kama atavumilia kuikosa avatar yako,,,lol
 
Smiles nimecheka sana, anasema amekupa talaka lkn sidhani kama atavumilia kuikosa avatar yako,,,lol

Haaa.... Kwani unamuona anachofanya huko?!
Maana yuko busy na PM yangu:mad2:
 
hommie itakuja kukucost hiyo....ohooo:shut-mouth:

shkang,
ukimuona kaka yangu mwambie wifi mama matesha kanituma nije nimtafute huku.
anatakiwa nyumbani haraka,achukue boda boda nitalipa.
 
Haaa.... Kwani unamuona anachofanya huko?!
Maana yuko busy na PM yangu:mad2:
Simuoni ni muda toka ameaga kwenda toilet, kumbe amerudi nyumbani! kweli infiii kazi!akija cjui atanidanganya nini!
 
Simuoni ni muda toka ameaga kwenda toilet, kumbe amerudi nyumbani! kweli infiii kazi!akija cjui atanidanganya nini!

aluu tuko busy na SMILES>>>>tunasmile tu na kuguna:biggrin1:
 
DC hii ni kwa ushauri wa daktari na ni MUHIMU kuzingatia...
3 solid months before delivery and 3 solid months after delivery ili mtoto akue na afya nzuri...
miezi yote hiyo smiles watu si watakufa na ukame..eeh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…