Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
You can say that again and again and again! Kaizer nimemwachia mtalaka wangu Smiles....ndio uzuri wa sheria yetu namba 3....Kizuri....?
Sasa bahati mbaya sheria namna tatu hai-apply kwako... Kwa maana una kazi ya kufukuzia tuu kila siku hadi umechoka maskini! Kwa mwendo wako huo sasa hiyo infidelity unafanyaje?? :confused2: mbona zero kabisa...