Jamani...Nauliza tu

Wapi naweza pata supu mitaa ya tabata bima....

Tabata baracuda ila wanauza supu ya kitimoto i hope itakata valuu zote kwenye kichwa hivi umetokea gesti gani mbona umechelewa sana kutoka?
 
Tabata baracuda ila wanauza supu ya kitimoto i hope itakata valuu zote kwenye kichwa hivi umetokea gesti gani mbona umechelewa sana kutoka?

Baracuda haipo Bunju?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
nilikuwa wapi mackini mie cjaiona hii thread, nazeeka vibaya jamani.
 
MJ1, bado ukilia unabembelezwa au ilikua ni wikendi tu?
 
Baracuda haipo Bunju?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

yawezekana hata bunju kuna baracuda, lakini Tabata pia kuna eneo linaitwa Tabata baracuda ,isitoshe kuna bar inayoitwa baracuda!
 
Tabata baracuda ila wanauza supu ya kitimoto i hope itakata valuu zote kwenye kichwa hivi umetokea gesti gani mbona umechelewa sana kutoka?

Kwa kuwa ntakuwa bize sana leo na kesho....natafuta supu ya pweza....
 
Naona umesoma katikati ya mistari hapo kwenye bold kamanda.....Yale yale... connections of dots!

Mi naona wewe umechelewa.....mwenzako mbona nilishasoma zamani nikaamua kuyaacha kama yalivyo.....
 
dah!...............
nimekosa uhondo hapa,maanake hata pa kuanzia sipaoni....!

enewei ngoja kwanza.....
 
Mi naona wewe umechelewa.....mwenzako mbona nilishasoma zamani nikaamua kuyaacha kama yalivyo.....

Ngoja nami niyaache kama yalivyo.....ila sometimes watu wanajisahau wanaacha traces....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…