Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi naweza pata supu mitaa ya tabata bima....
Tabata baracuda ila wanauza supu ya kitimoto i hope itakata valuu zote kwenye kichwa hivi umetokea gesti gani mbona umechelewa sana kutoka?
unazeeka vibaya?? ndio kuzeekaje huko?? unaanzia miguuni au??nilikuwa wapi mackini mie cjaiona hii thread, nazeeka vibaya jamani.
Baracuda haipo Bunju?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
yawezekana hata bunju kuna baracuda, lakini Tabata pia kuna eneo linaitwa Tabata baracuda ,isitoshe kuna bar inayoitwa baracuda!
Baracuda haipo Bunju?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Not shua.....Baracuda haipo Bunju?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Unataka kubembelezwa na wewe?nilikuwa wapi mackini mie cjaiona hii thread, nazeeka vibaya jamani.
:shut-mouth:Hmmmmmmm
nilikuwa wapi mackini mie cjaiona hii thread, nazeeka vibaya jamani.
Tabata baracuda ila wanauza supu ya kitimoto i hope itakata valuu zote kwenye kichwa hivi umetokea gesti gani mbona umechelewa sana kutoka?
yawezekana hata bunju kuna baracuda, lakini Tabata pia kuna eneo linaitwa Tabata baracuda ,isitoshe kuna bar inayoitwa baracuda!
Naona umesoma katikati ya mistari hapo kwenye bold kamanda.....Yale yale... connections of dots!Hmmmmmmm
unazeeka vibaya?? ndio kuzeekaje huko?? unaanzia miguuni au??
Naona umesoma katikati ya mistari hapo kwenye bold kamanda.....Yale yale... connections of dots!
Uzeeke mara ngapi?
dah!...............
nimekosa uhondo hapa,maanake hata pa kuanzia sipaoni....!
enewei ngoja kwanza.....
Naona umesoma katikati ya mistari hapo kwenye bold kamanda.....Yale yale... connections of dots!
Mi naona wewe umechelewa.....mwenzako mbona nilishasoma zamani nikaamua kuyaacha kama yalivyo.....