Jamani...Nauliza tu

Me naomba unifafanulie kutokana na uzoefu wako hivi kwa nini mwanaume akinyimwa biolojia anaweza hata kulia?

Yaani kuna misuli inabana kweli kweli kwa hiyo inakulazimu uende ukamalizie na penzi binafsi kiaina.

Kumbuka huu ni ukatiri wa hali ya juu hata UN inakataza kumnyima mwenzio Bailojia fikiria wewe unapo karibia kumaliza tendo alafu mwanaume anakukatisha tunaita anachomoa si unaweza mchukia milele huyo mwanaume? Imewahi kukutokea?
 
Hahahahaha..........sina la kujitetea hapa.

The Finest naye mchakachuaji tu Roya... wewe tu peke yako u msafi karibu kiti hapa IPC

Naona Roya anataka mambo ya kuingilia mikataba ya watu yeye mkataba wake umeisha kama wa TICTS lakini bado anataka kurenew tu
 
Fidel bana..........................
 
Habari jirani!

Me naomba unifafanulie kutokana na uzoefu wako hivi kwa nini mwanaume akinyimwa biolojia anaweza hata kulia?

Maty hebu jaribu kumnyima mwanaume biolojia ila itabidi umpate yule amabye hajazoea kuna mwingine ukimnyima anaona pao tu si anajua biolojia ziko nyingi kuna wengine ndio hao hawana uvumilivu wanamwaga chozi hebu tafuta mmoja umfanyie hivyo
 

Mwambie aende kenya aone wanaume wanavyoonewa wanavyonyimwa biolojia wakidai wanaambulia vipigo
 

MJ1... hayo mambo yapo, lakini kama life ilivyo.. si kila wakati ukilia basi utabembelezwa, na si kila wakati ukinuna unaliwazwa

huwezi lia kijingajinga ati mtu aache kazi zake aje abembeleze, hata mtoto wa pekee hafanyiwi hivyo, huwezi nuna tu kisa gubu basi jamaa hilo kupetipeti, hata bubu akinuna sana anapotezewa

the song is romantic and i am sure it is relevant in ambient environment
 

Cousin location?
 
Fidel leo umeua best loh...Sikujua kama wewe u mpigania haki mahiri kiasi hiki.
 
Aksante kamanda

THANKS ......kile kibatani sikioni skriini kwangu kikija ntakupatia.

Ni kweli usemayo usiombe kufall in love na mtu mwenye gubu...........utajuta
 
sijui hiyo ndo Asprin ameiita kuwa ni kuliwaza........................... mi sijui!
Unajua Asprini alisoma shule moja iitwayo Matemboni wenyewe wanaita Matembonyi sule ya msingi na sekondari akasoma Kolila O level na A level Old Moshi sasa hajui tofauti ya kubembeleza na kuliwaza ah!!

Asprin:

Kubembeleza kimapenzi ni kule kudekeza
kuliwaza ni kutoa faraja pale ambapo mwenzio kaghafilika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…