Jamani...Nauliza tu

Jamani...Nauliza tu

Si unajua kuna kawikiendi kafupi??
Nani asiyependa nafasi ya kukubembeleza?

Hafsa aliimba
Mpenzi wangu mimi kweli nakupenda
Unajua ndo mana wanitesa
Sio siri honey wanipa presha, preshaa preshaaa

Waliozoea kubembelezwa sometimes wanatake advantage na matokeo yake ni presha ah.... ndo nsivyovitaka mie.
 
Aksante kamanda

THANKS ......kile kibatani sikioni skriini kwangu kikija ntakupatia.

Ni kweli usemayo usiombe kufall in love na mtu mwenye gubu...........utajuta
Hapo ndio umemalizia kabisa, jitu lenye Gubu linaweza kufukuza marafiki, ndugu hata majirani

KIbaya zaidi gubu inapunguza hamu ya kuwa karibu na ku-enjoy intimacy
 
Hapo ndio umemalizia kabisa, jitu lenye Gubu linaweza kufukuza marafiki, ndugu hata majirani

KIbaya zaidi gubu inapunguza hamu ya kuwa karibu na ku-enjoy intimacy
You can say that loud again and again ah......... mi ctaki
 
......Hahaha ila kusema ukweli janaume linalodeka kupita kiasi hata halipendezi ah.......mi ctaki

Hapa ndipo wakati mwingine tatizo linapoanzia. Kuna wanaume wanadhani kwamba kazi ya kubembeleza ni ya jinsia nyingine kwa hiyo wanaogopa kuonekana kama wameikana jinsia yao!

Hafsa aliimba
Mpenzi wangu mimi kweli nakupenda
Unajua ndo mana wanitesa
Sio siri honey wanipa presha, preshaa preshaaa

Waliozoea kubembelezwa sometimes wanatake advantage na matokeo yake ni presha ah.... ndo nsivyovitaka mie.

MJ1,

Hii biashara ya mapenzi kwa ufupi ni COMPLEX, COMPLEX, COMPLEX......jana, leo na hata ukamilifu wa hii dunia!!

Ila mapenzi ya kisanii ni matamu sana na yanavutia kuliko maelezo ingawa siyo sustainable!
 
.....sasa hayo si ndio mapenzi yenyewe!!Una mpenzi ili akubembeleze pale unapohitaji kubembelezwa, akudekeze na kukupa kile kitu moyo unataka pale unapohitaji.
 
Jamani mbona na nyie huwa mnatunyimaga? Au nyie mna haki ya kutunyima but sie hatuna haki ya kunyima??

Mara nyingi wanawake ndio wanawanyima wanaume. Wameifanya hiyo kuchukua nafasi ya corporal punishment ya primary!!
 
Hapa ndipo wakati mwingine tatizo linapoanzia. Kuna wanaume wanadhani kwamba kazi ya kubembeleza ni ya jinsia nyingine kwa hiyo wanaogopa kuonekana kama wameikana jinsia yao!

MJ1,

Hii biashara ya mapenzi kwa ufupi ni COMPLEX, COMPLEX, COMPLEX......jana, leo na hata ukamilifu wa hii dunia!!

Ila mapenzi ya kisanii ni matamu sana na yanavutia kuliko maelezo ingawa siyo sustainable!
DC ndio maana nikasema wahenga wangetuwekea tu wazi kuwa mapenzi ni usanii ukibahatika ni bahati yako kuliko sie tunakaa tunaingia kichwa kichwa kwenye mapenzi matokeo yake ndo haya ..... mioyo inapata kutu.
 
Hafsa aliimba
Mpenzi wangu mimi kweli nakupenda
Unajua ndo mana wanitesa
Sio siri honey wanipa presha, preshaa preshaaa

Waliozoea kubembelezwa sometimes wanatake advantage na matokeo yake ni presha ah.... ndo nsivyovitaka mie.

MJ1 umenikumbusha wimbo ufuatao wa KIDUMU ft LADY JAY DEE

Verse 1(Kidum)
Ikiwa umeamua kunitoroka
ikiwa unahisi kwamba hujiskii nami tena
na mbona imekuwa ngumu kunidokeza
naona ni bora nilie leo, badala ya kesho
kupenda, usipende
ni kama kujitia kitanzi
nitachimba na sururu
kwa ardhi nikitafuta penzi lako
ni heri nipigwe fimbo kwa mwili
sababu ntajikuna ama ntajikanda na maji moto
maumivu ya penzi, mtu hajikuni
wala hajikandi na maji
na hakuna upasuaji

Chorus
kama
kuna kosa nimewahi fanya(nielezee)
kama
kuna jinsi tunaweza leta(mpaka niishi)
na kama
kuna kitendo linaweza tendwa(nielezee)

nitafanya(fanya)
nitatenda(tenda)
nitafanya(fanya)
nitatenda(tenda)

nitafanya(fanya)
nitatenda(tenda)
nitafanya(fanya)
nitatenda(tenda)

Verse 2(Lady Jay Dee)
kweli hukumbuki ulioyafanya
ni kweli unakumbuka tulikotoka
sisemi habari zozote za kusikia
bali kwa ushahidi niliouona
msamaha mara ngapi
umeshaomba na bado
chenye makosa mangapi
niliyoyafumbia macho
mpaka leo nahisi kufika kikomo
maumivu yanazidi
ndani ya moyo
sitaki kwenda mbali kwani uko moyoni
nikusamehe mimi mara ngapi wee
nielezee mpenzi mara ngapi

Chorus
unataka nikusamehe mara ngapi(usihesabu)
ungependa nikuvumilie mara ngapi(hii ni ya mwisho)
je wewe nikulilie mara ngapi(vumilia)

sitoweza(utaweza wee)
nimechoka(usichoke)
nimeshindwa(usishindwe)
naondoka(usiondoke)

sitoweza(utaweza yee)
nimechoka
nimeshindwa(usishindwe)
naondoka(usishindwe)

Verse 3
ukihesabu mara ngapi umenisamehe
ni kama kuhesabu
ni mara ngapi mtoto kaharibu nappy
usichoke
usiondoke
usilie
niko hapa kukulinda

Chorus
kama
kuna kosa nimewahi fanya(nielezee)
kama
kuna jinsi tunaweza leta(mpaka niishi)
na kama
kuna kitendo lingeweza tendwa(nielezee)

nitafanya(fanya)
nitatenda(tenda)
nitafanya(fanya)
nitatenda(tenda)

nitafanya(fanya)
nitatenda(tenda)
nitafanya(fanya)
nitatenda(tenda)

unataka nikusamehe mara ngapi(usihesabu)
ungependa nikuvumilie mara ngapi(hii ni ya mwisho)
je wewe nikulilie mara ngapi(vumilia)

sitoweza(utaweza wee)
nimechoka(usichoke)
nimeshindwa(usishindwe)
naondoka(usiondoke)

sitoweza(utaweza yee)
nimechoka
nimeshindwa(usishindwe)
naondoka(usishindwe)
 
Jamani mbona na nyie huwa mnatunyimaga? Au nyie mna haki ya kutunyima but sie hatuna haki ya kunyima??

MwanajamiiOne, hili sijawahi kukutana nalo hata siku moja.................... kunyimwa! mi naonaga hawa watu hata akiwa amezimia ukimkubalia tu atataka.................. wengine hadi unawakumbusha "wewe si mgonjwa, hata kula umeshindwa?" lakini biolojia hawashindwi
 
.....sasa hayo si ndio mapenzi yenyewe!!Una mpenzi ili akubembeleze pale unapohitaji kubembelezwa, akudekeze na kukupa kile kitu moyo unataka pale unapohitaji.

Hapo umegonga kwenyewe,

Haiwezekani watu wakabembelezana muda wote...Ila kuna wakati muafaka wa kubembelezana. Wanaume wanabeleza sana pale ambapo akili yao inapokuwa imehamia machimboni. Hivi wanawake wanabembezaga wakati gani?

Tatizo la wasanii ni kujenga taswira kwamba mapenzi yana mambo ya kumbeleza may be over 75% kitu ambacho hakipo kabisa. Nadhani kubembeleza ni kama 5-20%
 
Mara nyingi wanawake ndio wanawaanyima wanaume. Wameifanya hiyo kuchukua nafasi ya corporal punishment ya primary!!
Aksante DC afadhali umesema Mara nyingi ina maana kuna sometimes wapo ambao huwa wachoyo..... ila sema tu kwa vile wanaonaga kuwa ni haki yao wewe (utadhani wake zao hawana haki na hiyo fimbo) wanalalama
 
Back
Top Bottom