Jamani...Nauliza tu

Jamani...Nauliza tu

nilkuona pia lkn nilikuwa namuwahi Asprin:dance:

:doh::doh:mbona jana Asprin siku nzima alikuwa kino BLOCK C kwa kikosi alikuwa ana :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
 
Haeleweki bwana labda niingie tuition
 
Mkuu jana ulikumbuka wapi mzee Kambarage?

Kimey, Teamo pamoja na mimi tulikuwa kwenye kongamano la kujadili mustakabali wa JKN baada ya kifo chake taifa hadi sasa limefikia wapi ila si unajua kongamano bila vimiminika linakuwa halinogi mada zinakuwa hazishuki (valuu, konyagi, serengeti, castle lager, castle light zilihusika sana)
 
Hahaha mambo ya synoveti haya! Nashukuru kama ulifika salama!
 
Posted via Mobile

Ha ha ha ha ha mpwa bado uko gesti tu hadi sasa haujafanya check out
Mpwa nguvu za kucheki out nnazo basi zile castle za jana balaa! Muhudumu wa hi guest anansumbua nitoke! Nimemwambia anze usafi vyumba vingine bana!
 
Back
Top Bottom