The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
sikujua kama wewe ni mcheza shoo mzuri namna hii! Hebu nisaidie kumuuliza kajukuu, kwanini jana alitutekeleza mazima?
Nafikiri lawama zitaenda kwako babu maana inawezekana hauku:A S 101::A S 101:maana mjukuu anaogopa kumuanza babu ila nahisi kama mjukuu wako alikuwa amekaa sehemu anatuchora tu