Vichomi mbali mbali mwilini vinasababishwa na mambo mengi. Inawezekana una matatizo ya kiafya ambayo hujawahi kuyagundua. Amueba, tyhode, Nemonea ya mapafu, TB, vindonda vya tumbo, Asid nyingi mwilini, alchol ya kupindukia, pumu, kutumia feni usiku kucha n.k vyote huleta kichomi. Cha msingi wewe nenda hospitali ufanye check up ya mwili mzima ili kujua panapouma. Vichomi ukivizembe vinaua ila vinasababishwa na ugonjwa fulani. Wewe kapime ili ujue una tatizo gani, usibanie hela kwani haina thamani yeyote kama haiwezi kukusaidia kiafya.
Kuhusu kiuno, sijajua kama ulipata ajali, kudondoka vibaya au una uzito kupita kiaasi au unakaa muda mrefu bila kunyanyuka, kubeba vitu vizitio kupita kiasia au unzee. Kama uzito umezidi inabidi uanze kazi ya kupunguza uzito, pia kuna ungonjwa wa romatism unasumbua sana miguu, pia husumbua mifupa na kiuno, unasababishwa na baridi kali pamoja na unywaji wa pombe na nyama nyekundu. Viangalie vyote hivi.
Kama upo Dar, pale Sinza katikati ya kwa Remi na Mori kuna clinic moja inaitwa ALT, wantoa vipimo na matibabu mazuri sana, wanatumia technologia ya Ujerumani ya Formula za water therap