Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
kwetu tunamtambua AK kama mchumba halali wa twinushka wangu.......
unaenda wapi???
clear this mess here na Fidel ndo uende usijifanye kuzidiwa hapa.....
Masanilo is here for you ni Dr. bingwa huyu
unaenda wapi???
clear this mess here na Fidel ndo uende usijifanye kuzidiwa hapa.....
Masanilo is here for you ni Dr. bingwa huyu
Dah kumbe AK ndo mmiliki wa ndoto ndo maana anajituma kweli hapa lakini binti anasisitizi yupo singo huyu AK ni mshika mapembe tu we mwache aendelee kuyashikilia yamchome.
Ndo hivyo mtoto katangulia naenda kukutana nae pale kwa ankal we karagha baho na roho ya kwa nn.
shem naomba umsamehe twin wako akapumzike, kiuno kimembana sana.kuna dawa pia anapitia pharmacy ndo maana kawahi kutoka.......... hao ma-Dr bingwa atawakonsalti kesho, nitamkumbusha mwenyewe............
Sala nilizopiga jana, huyu mtu leo lazima kashapona.!pole pearl kwa kuumwa!kwa kweli mimi ushauri wangu ni kwenda kumuona daktari!get well soon dear!
Vichomi mbali mbali mwilini vinasababishwa na mambo mengi. Inawezekana una matatizo ya kiafya ambayo hujawahi kuyagundua. Amueba, tyhode, Nemonea ya mapafu, TB, vindonda vya tumbo, Asid nyingi mwilini, alchol ya kupindukia, pumu, kutumia feni usiku kucha n.k vyote huleta kichomi. Cha msingi wewe nenda hospitali ufanye check up ya mwili mzima ili kujua panapouma. Vichomi ukivizembe vinaua ila vinasababishwa na ugonjwa fulani. Wewe kapime ili ujue una tatizo gani, usibanie hela kwani haina thamani yeyote kama haiwezi kukusaidia kiafya.
Kuhusu kiuno, sijajua kama ulipata ajali, kudondoka vibaya au una uzito kupita kiaasi au unakaa muda mrefu bila kunyanyuka, kubeba vitu vizitio kupita kiasia au unzee. Kama uzito umezidi inabidi uanze kazi ya kupunguza uzito, pia kuna ungonjwa wa romatism unasumbua sana miguu, pia husumbua mifupa na kiuno, unasababishwa na baridi kali pamoja na unywaji wa pombe na nyama nyekundu. Viangalie vyote hivi.
Kama upo Dar, pale Sinza katikati ya kwa Remi na Mori kuna clinic moja inaitwa ALT, wantoa vipimo na matibabu mazuri sana, wanatumia technologia ya Ujerumani ya Formula za water therap
Sasa fanya maarifa uje kanisani kwangu nimalize kazi kabisa!Thx dia kwa sala kwakweli leo niko fit kabsaaaaaaaaaa,duh ww i noma
Thx dia kwa sala kwakweli leo niko fit kabsaaaaaaaaaa,duh ww i noma
Thx dia naendelea vzr leo nimepona kiasi,ndio nina vidonda vya tumbo
unaenda wapi???
clear this mess here na Fidel ndo uende usijifanye kuzidiwa hapa.....
Masanilo is here for you ni Dr. bingwa huyu
Nafarijika kusikia unaendelea vizuri lakini ukiona dalili za mawingu mtafute mapema AK uwe nae karibu.
Pole kwa ugonjwa mwingine vp nao utataka tiba mbadala.
Vp ulifanya yale tuliyo kuelekeza ?
eeeh nilifanya kama mlivyosema tena bila kukosea step,thx alot swty leo bomba sana
acha hizo ndugu!Sala nilizopiga jana, huyu mtu leo lazima kashapona.!