Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

Yaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Tatizo la Tanzania ndio hili tunanunua electronics kama simu kwenye maduka ambayo hawana hata dealership

Nchi za wenzetu wanakuwa na store muuzaji anakuwa na delearship ya kuuza bidhaa genuine za aina moja tu kama ni Samsung basi Samsung huwezi kupigwa

Eli Cohen aende Mlimani City store ya Samsung atapata simu genuine yenye warranty.

Huwezi kumkuta mzungu ananunua simu Kariakoo
 
Tatizo la Tanzania ndio hili tunanunua electronics kama simu kwenye maduka ambao hawana hata dealership

Nchi za wenzetu wanakuwa na store muuzaji anakuwa na delearship ya kuuza bidhaa genuine za aina moja tu kama ni Samsung basi Samsung huwezi kupigwa

Eli Cohen aende Mlimani City store ya Samsung atapata simu genuine yenye warranty.

Huwezi kumkuta mzungu ananunua simu Kariakoo
Ahsante bosss
 
Nenda makumbusho pale kituo cha nje cha bus kuna duka la samsung nilipasua kioo nikatengezewa bure
 
Ni ngumu sana kujua simu mpya na refurbished kwa macho au bei,.huwezi kuamini hadi iPhone 16 zinauzwa kama mpya ila zishazingua..kuna duka ni authorized seller wa samsung wanauza simu nyingine zishatumika,nikiwa kama ex winga nitaandika mbinu chache za kujua simu mpya,

Kwa Samsung,

Angalia Imei number,zilizopo kwenye mfuniko wa nyuma na za ndani ya simu zinaendana??na kama zinaendana,waambie wakupe box,je imei number za kwenye box la simu zinaendana na za kwenye simu???

Software:ukiingia kwenye settings za Samsung, angalia status ya software,wakiandika OFFICIAL means simu haija chezewa,ila wakiandika CUSTOM kimbia

Kwenye iPhone simple,ukiingia kwenye settings za iPhone nenda kwenye settings, nenda kwenye general,then about phone..kuna maneno haya hapa na maana zake

M -simu mpyaaaaa(brand new)

N -Simu ilikua mpya ila imezingua ikarekebishwa na kurudishwa dukani,ila sio USED

F – Simu ni refurbished
 
Attachments

  • Screenshot_20241003-085415_Settings.jpg
    Screenshot_20241003-085415_Settings.jpg
    116.9 KB · Views: 11
Back
Top Bottom