Jamani ni saidieni kwa hili

Jamani ni saidieni kwa hili

Jaribu kutulia utapata usiwe na haraka ya ndoa! Ndoa si kitu cha kufanya haraka haraka, jaribu kutulia mkuu. Wanawake wapo wengi haujatenga muda wa kutosha!

poa nimekuelewa but wasiwasi wangu ni kuwa na family wakati aged so nivigumu kuwawapatia huduma muhimu cos nitakuwa nimeshachoka so ndio yale ya kutegemea ndugu unalionaje hilo?
 
hata kama ukichagua kwa kujitosheleza kwa vigezo vyako vyote bado kama mungu akipenda laweza kuwa chaguo jema au baya vile vileila ongeza umakini na utulivu katika kufuatilia kwako na uwe siriazi isije kuwa ni mbabaishaji.
 
Back
Top Bottom