Jamani ni vije hapa...................?

Jamani ni vije hapa...................?

Luv, lazima goia ya mateso ilikuwapo tu maana anasema kuwa alishawishiwa na rehani amwache mume wake ili akaishi naye......sasa sidhani kama pangekuwa shwari tu angekubali kuachana na mumewe, I mean kama ni ku do infii si angeenda kisha arudi kwa mumewe? LOl

Gmorning luv...
walimu wa QUALITATIVE ANALYSIS utawajua tu.............
 
MJ1

A true man, hatakwambia umuache mmeo, sanasana atakutongoza na kuweka uhusiano na wewe [INFIDELITY]... anaekwambia achana na mumeo huyo ni hatari na ni wa kumkimbia kwa kasi ya michael schumaker
U true man unatoka wapi hapo sasa?
 
Mjukuu, bado nasubiri majibu ya haya maswali yangu hapa.
Babu umenishikia Bango jamani............Ah hayo maswali angekuwepo Rehani mwenyewe angetusaidia............. nadhani hapa ni baada ya kufahamiana sana, kumegana sana so wakafikia kunogewa ................
 
walimu wa QUALITATIVE ANALYSIS utawajua tu.............

Actually siku hizi nimeimprove, thanks to the integration ya quantitative na qualitative analysis, pamoja na linguistics (isimu) from comrade NN (nasikia wammemground) hahahaha ngoja nikaifanye sasa hivi...
 
Kuachana na mtu ambaye huna komitments za kindoa ina tofauti sana na hii ya mke....(nasubiri utangaze nia yako....)

St. ni kifupisho cha street.....yaani mtaa...infact unaweza kuita Mt. RR.....hopefully bado unanipenda! Sijawahi kuguna kuhusu Nyamayao....

...:kiss:
 
Babu umenishikia Bango jamani............Ah hayo maswali angekuwepo Rehani mwenyewe angetusaidia............. nadhani hapa ni baada ya kufahamiana sana, kumegana sana so wakafikia kunogewa ................

Orait....kama ni hivyo. Udanganyifu mwingine ulianza kabla hajadanganywa amuache mmewe, si ndio?

Huyu mama anamlaani rehani kwa kumdanganya amuache mume wake. Lakini wakati wanadanganyana wakapiga infidelity, Rehani halalamikiwi.

Sababu nyingine ya kupruvu kuwa INFIDELITY ni nguzo muhimu ya kudumisha ndoa.

Katibu, nukuu hii tafadhali.......... Nakala kwa mwenyekiti na the King.
 
Luv, lazima goia ya mateso ilikuwapo tu maana anasema kuwa alishawishiwa na rehani amwache mume wake ili akaishi naye......sasa sidhani kama pangekuwa shwari tu angekubali kuachana na mumewe, I mean kama ni ku do infii si angeenda kisha arudi kwa mumewe? LOl

Gmorning luv...

ndio hapo naona kama hawa awalinogewa wakajisahau wakitaka kuhalalisha kabisa....
gmrng my luv...jana kuna amhali ulisema umetokea guest, nitoe wacwac kwamba ulipeleka wale wageni wetu.
 
Actually siku hizi nimeimprove, thanks to the integration ya quantitative na qualitative analysis, pamoja na linguistics (isimu) from comrade NN (nasikia wammemground) hahahaha ngoja nikaifanye sasa hivi...
haya haya wahi mpwa......!
nasikia we kwenye exiperiments za pendolum ndo ulikuwa unaingia na data zote kichwani ukifika pale leb unakivuta kile ki-bob unakiacha kinaswing unaanza kumanipuleti data hadi unapata gravity 9.7979m/s2
 
Orait....kama ni hivyo. Udanganyifu mwingine ulianza kabla hajadanganywa amuache mmewe, si ndio?

Huyu mama anamlaani rehani kwa kumdanganya amuache mume wake. Lakini wakati wanadanganyana wakapiga infidelity, Rehani halalamikiwi.

Sababu nyingine ya kupruvu kuwa INFIDELITY ni nguzo muhimu ya kudumisha ndoa.

Katibu, nukuu hii tafadhali.......... Nakala kwa mwenyekiti na the King.
Baba Hachaguliwi...........:lol::lol:
 
Mj1 ukijua mi ni mtoto wa Obama utanikataa nikikupropoz?
Kwa minajili gani hapa KakaJ unayozungumzia??............... Maana ukija mtoto wa Obama weye ukakuta na mie ni mtoto wa Clinton au Bush...................kuna kipi kipya utachonieleza?
 
ndio hapo naona kama hawa awalinogewa wakajisahau wakitaka kuhalalisha kabisa....
gmrng my luv...jana kuna amhali ulisema umetokea guest, nitoe wacwac kwamba ulipeleka wale wageni wetu.

Dada yangu, ukinogewa kwenye infii ukaamua kumuacha mume/mke ujue huo ni ulimbukeni wa hali ya juu. Sijui ni rule namba ngapi (King atanisaidia hapa)inayosema Infiiz lazima ni walindane ili penzi lao lidumu. Bila kulindana, ndoa zinavunjika at the same time mapenzi ya hawa infiiz yanaisha!! Take it from me!
 
labda kwa kujikumbusha tu wajameni:
Zijue sheria ''mama' za infidelity...

1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

4-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)

5-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')

6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

7-KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO

8-INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.

9-INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

10-INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

11-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!

12-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.

13-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.​
 
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

Na wewe kwa nini ukubali kumuacha mume wko bila sababu? Kwa nini kushikiwa akiri dada angu.
unajua, mi nikikudangaynya, na wewe ukadanganyika, , then mi nitakuona zuzu, tena nikisha ng'ata tu fasta nakula kona, naamini kitatokea kidume kama mimi kitakudanganya then utaniachia kovu.aku thitaki mie kuumizwa.bt may be it's nature, mi demu wangu anaandikiwa msg gd 9t, usiku wa manane ye bado haoni kama ndo misele inaanza, yy anaona sawa tu.na mbichwa wake unazid kuwa mkubwa. dada angu kaa chonjo najiandaa kudanganya kwani mamii wangu ananizingua.
 
Dada yangu, ukinogewa kwenye infii ukaamua kumuacha mume/mke ujue huo ni ulimbukeni wa hali ya juu. Sijui ni rule namba ngapi (King atanisaidia hapa)inayosema Infiiz lazima ni walindane ili penzi lao lidumu. Bila kulindana, ndoa zinavunjika at the same time mapenzi ya hawa infiiz yanaisha!! Take it from me!

sign yako na ya Roy...mhhh
 
Back
Top Bottom